Mara ya mwisho uliona lini ......!!!?

kaka utamaduni...maneno yako yamenitoa machozi....tone ulotumia inadhiirisha unavyoumia...ki ukweli mie najisikia kuua, kuua, kuuua, kuua...nikiona watanzania wengi wanavyo taabika ka wako jehanamu, huku mafisadi yakiishi paradiso na familia zao...inanifanya nijisikie kuua, manake sina cha kupoteza....!
 
kama mtoa hoja alivyoandika. wingi wa watu unaotaka kufanana na huo niliuona dom kipindi mwl nyerere anaagwa,me nilikuwa mmoja wa vijana wa std one waliocheza halaiki kundi la mwenge. tangia hapo sijawahi kuona hii ktk siasa labda kama niliona ni uwanja mpya wa taifa nakao ni kwenye michezo si siasa. Phd wetu anatisha.
 
watu wanapenda sana hotuba za kulopokalopoka ndo maana kila wanaposikia chadema wanakwenda ilio kusikia dowans,maisha magumu na ufisadi.
 
Kipya kinyemi. Wanataka kusikiliza huyu mpya anayejitokeza anataka kutuambia nini, tofauti na wale ambao ameshazoea kuwaona kwenye majukwaa. Ni hilo tu.

We umetumwa ila ukweli unabaki hapohapo kuwa rais wa watz ni DR. Slaa. Kiwete ni rais wa NEC na mafisadi.
 
Nakumbuka 1992 pale Jagwani pia Mwalimu alijaza umati.

Mwalim ambaye sasa ni marehemu ana tofautiana sana na DR. wa Ukweli, Slaa. Kwanza
i. alishakuwa rais almost dictator
ii. serikali zilizotangulia zilikuwa na mizizi yake
iii. vitabu vingi toka shule ya awali vilimsifia sana
iv. jeshi lilikuwa upande wake na polisi akiwa na watu wengi toka mkoa wa Mara
v. kulikuwepo nidhamu ya uoga iliyojengeka juu yake
vi. nk

Dr. wa ukweli ni nguvu ya umma inambeba. Nguvu ya watu wasio na pa kwenda. Nguvu ya waliozugwa na kuwepo kwa vyama vingi tapeli vilivyoongozwa na A.L. Mrema, Masumbuko ramwai, Bagenda, nk
 
Labda kwa huku kwenu bara lakini sisi Zanzibar hajashinda na wala hayumo kwenye list ya hata wanaokaribia karibia. Hatuwezi kuongozwa na Silaha sisi. Halafu sijui hizo fikra mnazitoa wapi kwamba silaha alishinda?
Point of correction,

SIo chuki binafsi, ila ni chuki ya kuibiwa haki zetu waziwazi, yaani chuki ya kutangaziwa raisi aliyeshindwa uchaguzi (kikwete) badala ya aliyeshinda (DR. (PHD) Slaa), ni chuki ya jinsi raisi aliyeiba kura anavyoshindwa kuiendesha nchi hali inayosababisha maisha kuwa magumu, ni chuki ya kuona asilimia kubwa ya ndugu zetu wakiishi kwa mlo mmoja wa kubahatisha huku wengine wakifa kwa njaa, ni chuki ya kuona asilimia kubwa ya ndugu zetu wanashindwa kununua hata nguo kwa ajili ya kujisitiri achilia mbali kuwapeleka watoto wao shule, huku wao wachache walioamua kuibaka nchi wakiwasomesha watoto wao kwa gharama kubwa katika nchi za watu japo hawana akili.

ni chuki ya kuona kwamba raisi aliyejitangazia ushindi, amewapa nchi wahindi 2 na mmasai mmoja (RA, Manji & Low-hasa)

Ni chuki ya kuona gharama za maisha zinapanda huku pato la mtanzania likiwa palepale, zaidi makato ya kodi yanaongezeka ili kukipunguza kipato kile kidogo unachopata.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom