Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
daah we jamaa huna nizamu kabisa yani unaomba mambo meusi kwa mwanajf mwenzetu tena mbele yetu wazee wa kanisaš³Hahahahaa
ila madam unanitenga sana, nitazoeaje sasa wakati wewe unanikimbia
daah we jamaa huna nizamu kabisa yani unaomba mambo meusi kwa mwanajf mwenzetu tena mbele yetu wazee wa kanisaš³Hahahahaa
ila madam unanitenga sana, nitazoeaje sasa wakati wewe unanikimbia
Duh!Aisee mimi sitosahau, yule dereva sijui alikua kaweka mafuta gani yaani, na yeye ndie alikomalia tupite huko. Sababu ile tumeianza tu rough road pembeni nikaona tope la manjano na harufu ile ikanishinda kabisa. Nakumbuka nilitapika dirishani na sikua na hamu ya kula wala kupita road yoyote tena kwa mwezi mmoja hata yenye lami.
Vp nyie wakuu, ilikuaje kupita rough road kwa mara ya kwanza?
Wee si umeona kaja hapašš¤£š¤£š¤£
ššš nimeona mkuuWee si umeona kaja hapa
Anapenda hizi mada hatare aiseeeššš nimeona mkuu
ššMkuu ndiyo maana unakaliwaga kooni.Anapenda hizi mada hatare aiseee
unasemea huyuhuyu Vishu Mtata au kopi yake?
Hizo njia mi sipiti kabisa mkuu, hiyo dhambi sijawahi kuifanya.Vishu huyo huyo ndgu yangu au president wa vingunguti
ššššššš Mi nilikua sijui mapaka ile siku ambayo naona anaunga na mimi tuu kila napokimbia wapi mtu huyu hapa daah aiseeeššMkuu ndiyo maana unakaliwaga kooni.
Vishu sasa hv umebadilika sana aiseee an umekua mtu wa watuHizo njia mi sipiti kabisa mkuu, hiyo dhambi sijawahi kuifanya.
#silitope
Tukiwa wote mm na ww wanafikiila ulipoona title ya uzi ukaelewa na ukafungua.
Wanafiki wengi sana makanisani kama wewe
Acheni uchafu huo, futa huu uzi mnafundisha jamii mambo yenye madhara ModeratorAisee mimi sitosahau, yule dereva sijui alikua kaweka mafuta gani yaani, na yeye ndie alikomalia tupite huko. Sababu ile tumeianza tu rough road pembeni nikaona tope la manjano na harufu ile ikanishinda kabisa. Nakumbuka nilitapika dirishani na sikua na hamu ya kula wala kupita road yoyote tena kwa mwezi mmoja hata yenye lami.
Vp nyie wakuu, ilikuaje kupita rough road kwa mara ya kwanza?
Shida tushakuwa mishangaziHahahahaa
ila madam unanitenga sana, nitazoeaje sasa wakati wewe unanikimbia
Toka kitambo dogo, fata nyayo zanguVishu sasa hv umebadilika sana aiseee an umekua mtu wa watu