Sii kingechukuliwa kipara cha zamani?Angechukuliwa heche ingekuwa vyema zaidi!
Umeyaona ya Dodoma leo?CHADEMA hamuogopi Corona Tena kukusanyika?
Wabunge wenu si waliwahi kujilock down kuogopa Corona?
Haya mnayowafanyia ndio kuonyesha viwango vya usikivu wa walio na mamlaka na vyombo saidizi, vitekelezavyo unyanyasaji na uvunjifu wa katiba kwa makusudi. Tunataka Katiba mpya.Hawa chadema ni kama kenge,kusikia kwake Hadi damu zimtoke masikioni,waanze kwanza na makongamano ya kubadili katiba ya chadema ili gaidi aliyepo nyuma ya nondo aondoke madarakani
Kwa hisani ya ulevi wa madara.Hawa chadema ni kama kenge,kusikia kwake Hadi damu zimtoke masikioni,waanze kwanza na makongamano ya kubadili katiba ya chadema ili gaidi aliyepo nyuma ya nondo aondoke madarakani
Ccm kufanya mikutano ni sawa,lakini wakifanya Chadema wanakamatwaBavicha vichwa ngumu sana!
Chadema wanaleta chokochoko!Ccm kufanya mikutano ni sawa,lakini wakifanya Chadema wanakamatwa
Mtawala anayejua aliiba kura ndipo akaweza kushika madaraka hawezi kukuelewa unapodai katiba na tume huru. Unampokonya madaraka!!! ebo... siyo rahisi hivyo eti.Ccm kufanya mikutano ni sawa,lakini wakifanya Chadema wanakamatwa
Tusonge mbele watanzania ipo siku hakuna kisichowezekana kwa Mungu mbona yule bwana hayupo leo hii? Wataondoka wote waikandamizao nchi hii kwa maslahi binafsi.CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara wilaya ya Musoma mjini.
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Mara akatangaza kuwa Leo itakuwa siku ya usafi Mkoa wa Mara na hivyo kila Mwananchi ambaye hatashiriki atapigwa faini ya shilingi elfu hamsini, Bavicha wakawatangazia wanachama na wananchi waje na vifaa vya usafi ili washiriki kufanya usafi na Mkuu wa Mkoa na baadaye wataendelea na kongamano Lao lililokuwa lifanyike katika ofisi ya Chama Wilaya.
Usiku wa saa Saba na nusu Jeshi la Polisi walivamia ofisi za Chama Wilaya na kuchukua mahema na Viti vilivyokuwa vimeandaliwa Kwa ajili ya kongamano hilo .
Leo Jumamosi asubuhi polisi wamezingira na kufunga Kwa kufuli lao Geti la kuingia ofisini na kuizingira ofisi , na hakuna dalili kuwa wanafanya usafi na badala yake wanawakamata wananchi ambao walikuwa tayari kushiriki zoezi la kufanya usafi.
Waliokamatwa mpaka sasa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Musoma Mjini ni pamoja na;
(1). PATIRICK MWENGE NYABAGWE.
(2). GEORGE BURUMA RUBARE.
(3). NAHIMA MZURI KWAO SELEHIMAN.
(4). MAGRET EMANUEL.
(5). MUSILA JUMA.
Tunaendelea kufuatilia ukiukwaji na ukandamizaji wa Haki dhidi ya raia unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi wakishirikina na vyombo vingine vya Dola .
Tunalaani na kukemea ukiukwaji na uvunjaji huu wa Katiba NA Sheria za Nchi unaoendelea kufanywa na kupandikiza mbegu za chuki ,ubaguzi,uhasama na mgawanyiko ndani ya jamii ya Watanzania Kwa misingi ya kiitikadi.
Tunaendelea kusisitiza kuwa ni Haki ya Watanzania kukusanyika na kujadiliana kuhusu Katiba Mpya na kufanya hivyo hakuna kipengele chochote cha Katiba au sheria kimevunjwa au kukiukwa ,isipokuwa wanaozuia ndio wanavunja Katiba na sheria za Nchi yetu.
Tunaendelea kuvitaka vyombo vya Dola kutimiza majukumu Yao Kwa weledi na kufuata sheria badala ya kutumia mabavu kupambana na wananchi ambao wanataka kujadiliana kuhusu Katiba ya Nchi Yao Kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo.
Tunajiuliza Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora iko wapi ? Au haioni wala kusikia ukiukwaji huu wa Haki za Binadamu unaoendelea kutendeka nchini?
Imetolewa Leo Jumamosi tarehe 04 Septemba,2021.
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki,, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
Maushungi alipokiwa anazunguka juzi na kukusanya watu corona haikuwepo?CHADEMA hamuogopi Corona Tena kukusanyika?
Wabunge wenu si waliwahi kujilock down kuogopa Corona?
Huna maana wewe swainBavicha vichwa ngumu sana!
Msajili haoni kuwa vyama vya upinzani havitendewi haki?Huwa ni mwepesi kujitokeza pale vyama vinapokosea,ila vinapotendewa vibaya anakuwa kama amekalia gundi matakoni!Msajili wa vyama afanye nini sasa?awawekee dhamana au?
Tanzania ya viwonderBavicha vichwa ngumu sana!
Shida ni weledi wa kitanzaniaMsajili haoni kuwa vyama vya upinzani havitendewi haki?Huwa ni mwepesi kujitokeza pale vyama vinapokosea,ila vinapotendewa vibaya anakuwa kama amekalia gundi matakoni!
Wangekwenda kufanya usafi kwenye kambi za polisi ambazo ni chafu.CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara wilaya ya Musoma mjini.
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Mara akatangaza kuwa Leo itakuwa siku ya usafi Mkoa wa Mara na hivyo kila Mwananchi ambaye hatashiriki atapigwa faini ya shilingi elfu hamsini, Bavicha wakawatangazia wanachama na wananchi waje na vifaa vya usafi ili washiriki kufanya usafi na Mkuu wa Mkoa na baadaye wataendelea na kongamano Lao lililokuwa lifanyike katika ofisi ya Chama Wilaya.
Usiku wa saa Saba na nusu Jeshi la Polisi walivamia ofisi za Chama Wilaya na kuchukua mahema na Viti vilivyokuwa vimeandaliwa Kwa ajili ya kongamano hilo .
Leo Jumamosi asubuhi polisi wamezingira na kufunga Kwa kufuli lao Geti la kuingia ofisini na kuizingira ofisi , na hakuna dalili kuwa wanafanya usafi na badala yake wanawakamata wananchi ambao walikuwa tayari kushiriki zoezi la kufanya usafi.
Waliokamatwa mpaka sasa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Musoma Mjini ni pamoja na;
(1). PATIRICK MWENGE NYABAGWE.
(2). GEORGE BURUMA RUBARE.
(3). NAHIMA MZURI KWAO SELEHIMAN.
(4). MAGRET EMANUEL.
(5). MUSILA JUMA.
Tunaendelea kufuatilia ukiukwaji na ukandamizaji wa Haki dhidi ya raia unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi wakishirikina na vyombo vingine vya Dola .
Tunalaani na kukemea ukiukwaji na uvunjaji huu wa Katiba NA Sheria za Nchi unaoendelea kufanywa na kupandikiza mbegu za chuki ,ubaguzi,uhasama na mgawanyiko ndani ya jamii ya Watanzania Kwa misingi ya kiitikadi.
Tunaendelea kusisitiza kuwa ni Haki ya Watanzania kukusanyika na kujadiliana kuhusu Katiba Mpya na kufanya hivyo hakuna kipengele chochote cha Katiba au sheria kimevunjwa au kukiukwa ,isipokuwa wanaozuia ndio wanavunja Katiba na sheria za Nchi yetu.
Tunaendelea kuvitaka vyombo vya Dola kutimiza majukumu Yao Kwa weledi na kufuata sheria badala ya kutumia mabavu kupambana na wananchi ambao wanataka kujadiliana kuhusu Katiba ya Nchi Yao Kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo.
Tunajiuliza Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora iko wapi ? Au haioni wala kusikia ukiukwaji huu wa Haki za Binadamu unaoendelea kutendeka nchini?
Imetolewa Leo Jumamosi tarehe 04 Septemba,2021.
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki,, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
Kwa tunapoelekea ni bora wakawa vichwa ngumu tu, maaana mwenye majibu anatengeneza MOVIE, wasaidizi wake wanafanya yaoBavicha vichwa ngumu sana!