Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

Wakubwa kuna game zingine si mchezo, enzi zangu niliwahi kupata katoto kamoja ka form 6.

Wakati wa kufanya kulikuwa na harufu ambayo sikuweza kuielewa ni ya nini, maana maeneo yalikuwa tu masafi, ilibidi lile moja nimalize kwa taabu sana, la pili ikashindikana kwa sababu nilikuwa napambana na harufu vikali.

Baada ya kuachana naye ile harufu ilikuwa inanitokea tokea mara kwa mara mpaka mwaka mzima, na ilikuwa nikipata papuchi naenda huku nawaza ile harufu.
 
Na wanawake ni wabaya sana kwenye mahusiano aisee. Manake atakupiga chini na atahadithia details. Kuna mtu unakutana nae alimpitiaga shosti, unavuta mdomo na kunyoosha shingo na kumpita kama trekta. Yeye anajua una hasira shosti aliachwa, kumbe unaona aibu jinsi ulivyo na image yake akiwa naked.

if i was a man, ningeogopa sana wanawake. Hehehe

If you were "a minor-man" otherwise manhood is all that one can have aseee
 
duh! hatariiiiiiiiiii
 
Bora bwawa safi kuliko kidimbwi harufu!!!!!
 
Katika maneno yenye athari kubwa kwa men ni kuambiwa na mgegedeo wako kwa sijatosheka. OMG unajisikia kuaibishwa sana, men siku zote tunapenda baada ya mechi kusifiwa kwa tunaweza hata km mtu hajafika peak
 
Dah.. Nina rafiki yangu mmoja demu juzi hapa alipitiwa na jamaa yangu akala uroda halafu baada ya hapo no mawasiliano... Demu anajilaumu mno.. Anajuta kutoa uroda in the first date... Anajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.. Na ananilaumu sana kumkutanisha na jamaa....
 
Katika maneno yenye athari kubwa kwa men ni kuambiwa na mgegedeo wako kwa sijatosheka. OMG unajisikia kuaibishwa sana, men siku zote tunapenda baada ya mechi kusifiwa kwa tunaweza hata km mtu hajafika peak
You have to be sure with your package before delivery!!!!!!
 
Wakubwa kuna game zingine si mchezo, enzi zangu niliwahi kupata katoto kamoja ka form 6.

Wakati wa kufanya kulikuwa na harufu ambayo sikuweza kuielewa ni ya nini, maana maeneo yalikuwa tu masafi, ilibidi lile moja nimalize kwa taabu sana, la pili ikashindikana kwa sababu nilikuwa napambana na harufu vikali.

Baada ya kuachana naye ile harufu ilikuwa inanitokea tokea mara kwa mara mpaka mwaka mzima, na ilikuwa nikipata papuchi naenda huku nawaza ile harufu.

halafu ni kweli aisee... Ile harufu sijui ni yanamna gani... Inaweza ikakutokea sehemu yoyote ukahisi ndio yenyewe... Hata kama upo barabarani unatembea inaweza ikakujia ikakukosesha amani. Iliwahi kunitokea aisee.. Ilinichukua muda mrefu sana kuisahau kabisa ile harufu.
 
It depend, kuna mtu unaeza kumuona unaanza ku imagine mambo yatakavokuwa
unahisi atakuwa very good kwa bed, ila unakutana na makolokocho
mmmh no way inabidi kula kona tu....

Kuna demu mmoja kitaa nilimtongoza kwa nia ya kumuonja tu nisepe sababu alikua na maringo sana, alinisumbua sana lkn mwishowe akakaa, nikaonjeshwa wacha inoge hadi nikajikuta nimejenga kambi isio rasmi. Alkua na kl sababu ya kuringa.
 
Reading btn the line, naona ulishamtenda mtu. Lol
Mzazi mwenzangu alinisimulia alishakutana na mdada wa kimalagasy baada ya hiyo kitu alitapika mbaya.

Sijawahi kutokewa, lakini l can imagine kwa mwanamke huenda ikawa mbaya zaidi ya mwanaume. Anyway sijui lkn.

Hahahahahahahah,
Kaunga bwana, mimi nimesema tuishie hapo.....It's a very painful experience!

Hapo kwenye blue, umedhihirisha jinsi nafsi ya binadamu ilivyo na ubinafsi wa hali ya juu. Hii suala ni baya sana kwa kila mtu kwa sababu mahusiano yanahusisha maeneo mengi ya mtu na jambo lolote linalokwenda kinyume lazima liwe na madhara makubwa kwa mtendwa!

Hii ni mada ngumu na yatosha kutosema mengi ndugu yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Wanasemaga ukitaka kumjua mke mwenzio, muache mumeo.

Mi nakuambia if you wanna know of.you ar a minor man or a mega one, muache mchepuko wako teh teh
If you were "a minor-man" otherwise manhood is all that one can have aseee
 
Na wanawake ni wabaya sana kwenye mahusiano aisee. Manake atakupiga chini na atahadithia details. Kuna mtu unakutana nae alimpitiaga shosti, unavuta mdomo na kunyoosha shingo na kumpita kama trekta. Yeye anajua una hasira shosti aliachwa, kumbe unaona aibu jinsi ulivyo na image yake akiwa naked.

if i was a man, ningeogopa sana wanawake. Hehehe

Hayo mambo ya kutangazwa pale unapolizwa kibuyu ndiyo yaliyonifanya wakati niko college niishi kama Towashi....

Nachukia sana hicho kitu na sijui ningefanya nini kama siku moja ningekuta story zangu kwenye ubao wa matangazo ya bweni la akina dada!!
 
ata kwa wanaume naona inawauma sana.kuna mtu alinizimia sana kama mwaka anafukuzia nikampa once alafu nikakata network.alijisikia vibayaaa.

Btw wanaume mnadhani sex inawa favour nyie utasikia nikamgegeda.kuna wanawake nao anakua anataka akuonje tu akuache so check out waweza jua kua umepata kumbe umepatikana.

kumbeeeeee.......!
 
halafu ni kweli aisee... Ile harufu sijui ni yanamna gani... Inaweza ikakutokea sehemu yoyote ukahisi ndio yenyewe... Hata kama upo barabarani unatembea inaweza ikakujia ikakukosesha amani. Iliwahi kunitokea aisee.. Ilinichukua muda mrefu sana kuisahau kabisa ile harufu.

Ilifikia hatua nikawa njia ambazo inanitokea mara kwa mara nikapunguza kuzipita.

Ile harufu mpaka leo sijui chanzo ni nini.
 
ndio hapo unapokuta mtu kakolea kwa not do good-looking or breathtaking girl na watu wanajiuliza kuna nini pale.
Ni kwakuwa hukua na expectations kubwa from the very beginning, ulitaka tu kupunguza protein maybe halafu ukakutana na vitu vitamu. (Refer thread yangu ya Keepers)

Tofauti na ukikutana na breathtaking shorii, unakuwa na loads of expectations na inapohappen mambo yanakuwa tofauti na matarajio yako ndio hapo unakimbia.
NB: sio wote wanaomkimbia mdada ana matatizo, wrngine ni insecurity baada ya kumuona yuko way out of his league.
Ni kweli na ni kitendo ambacho kinauma japo reality ya kutoswa inajulikana
 
Back
Top Bottom