Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

It depend, kuna mtu unaeza kumuona unaanza ku imagine mambo yatakavokuwa
unahisi atakuwa very good kwa bed, ila unakutana na makolokocho
mmmh no way inabidi kula kona tu....


Does the money makes a man look sexy?
 
Lazima ujisikie umeonjwa kama you expected more than that. Kwa maturity yangu first time sex sitegemei chochote kwa yule mtu, nahesabu ilikua starehe ya mara, akirudi poa asiporudi na mie naishia vile vile na yeye nimuache na maswali. Manamke hutafutafutwa jamani, sio wewe kutwa ndio unahangaika na mimeseji na simu zisizojibiwa. kwani hata kama amekupata mara moja akaishia, amekuachia alama usoni. Tena akiishia na yeye akaishia, after few days inakua history.
Dah hiyo kitu inafanya mtu ujiskie ovyo sana
yani najiona "nimeonjwa"
 
Huna sababu ya kua piriton maana na wewe unaweza ukakutana na mtu akaku bore siku ya kwanza na usirudie tena. Hii ni pande zote mbili.
Hiyo haijawahiwntokea lkn nahisi inauma sana,yani seems like ntakuwa mdg ka piriton,,
 
Enzi zetu tukiwa chuo tulikuwa tunasema 'kula kichwa'
Yaani hapo haurudi

So Mwekundu ht wanaume tumewafanyia sn hii
 
Nakupotezea makusudi....alafu nafurahi ukisumbua yan...begging for more....
 
Ndo maana wanasema siku ya kwanza usibanie maujuzi, mambo ya kuogopa oooh ataniona wavile weka pembeni ila usizidishe, ili hata akisepa hawezi kukudharau. Usiombe huyo aliekuonja muwe mnaishi mtaa mmoja halafu akawa mlopokaji, utatamani kuhama mtaa.
 
[MENTION][/MENTION]
Lazima ujisikie umeonjwa kama you expected more than that. Kwa maturity yangu first time sex sitegemei chochote kwa yule mtu, nahesabu ilikua starehe ya mara, akirudi poa asiporudi na mie naishia vile vile na yeye nimuache na maswali. Manamke hutafutafutwa jamani, sio wewe kutwa ndio unahangaika na mimeseji na simu zisizojibiwa. kwani hata kama amekupata mara moja akaishia, amekuachia alama usoni. Tena akiishia na yeye akaishia, after few days inakua history.

kuna utamu kunoga nahitaji niupate tena, hivo lazma nisumbue...
 
mojawapo ya sababu ni nyodo za baadh ya wanawake, unakuta demu unamfukuzia miez 3 anakukazia mixa nyodo, huwa cku akiachia ni kummega na kumbwaga
 
Back
Top Bottom