Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Habarini wakuu.

Leo nina kuja na mada tena kwa style ya swali kwa wadada zetu kama mkakati wa kuwarekebisha akina sisi tujue madahara ya tunachowafanyieni au kuwajeruhi kiroho katika sekta nzima ya mapenzi.

Hivi mdada unajisikiaje yule jamaa/Mshikaji ambaye amekufukuzia sana kwa gharama kubwa, kwa muda wake mwingi then ulipokuja tu kufungua njia ukamuonjesha hadhina yako(kama vijana wengi wa mjini tunavyoamini uthamani wako uko hapo kati) then baada ya hapo tu unaona mwenzio anaanza kuonyesha negative attitude yaani simu na meseji zinaanza kupungua dramatically ikiwezekana hadi uanze wewe, anakulia cobs hata mkukutana ratiba hataki tena iwe faragha, anakukwepa, yale maneno matamu hamna tena (matured wananielewa), yaani jamaa hatamani hata kurudia tena yaani kama ukikutana naye kama vile hamjafanya(LOL) ,hata kuja kuku pick tena ndo basi....n.k.

Sasa je wewe kama ndo imewahi/ulitokewa au utatokewa na hivyo nini hasa utahisi? Na kama itakutokea mara kadhaa hutajihisi balaa kweli au una kasoro?(Ukaoge maji ya bahari).

Na kwa upande wa pili, sisi wanaume ni kitu gani hasa(common) ambacho hukutarajia kilikusababisha utamani iwe kama haijatokea vile wakati ulikua unapigia misele kama mbwa mwenye njaa.

Na Mwisho kabisa Je hii kitu haiwezi kuathiri mahusiano yako yajayo(future) yako wewe msichana?

Alamsiki Wasalamu.

Nawasilisha
 
Sex can start or end a relationship......it is the same all over the world...
Swali kwanini sasa ule usongo wote unapotea ghafla....,?ni kweli ilikua wrong judgement?
 
inauma sana maana unajua kumbe huyu alikua anataka mwili tu asepe
mapenzi ya kufurahisha nafsi mi siyawezi
 
Swali kwanini sasa ule usongo wote unapotea ghafla....,?ni kweli ilikua wrong judgement?

Tukiwa in love tunakuwa na imaginations zetu tu zinatu changanya......love is blind....sex is reality...labda after sex unagundua bad breath, au matiti kumbe ni wonder bra tu....au usafi mdogo wa mwili au hana 'interesting conversation wakati wa sex' au tu 'hamna compatibility kitandanani' au ham connect sexually.....kuna so many factors
 
Ata kwa wanaume naona inawauma sana.Kuna mtu alinizimia sana kama mwaka anafukuzia nikampa once alafu nikakata network.Alijisikia vibayaaa.

Btw Wanaume mnadhani sex inawa favour nyie utasikia nikamgegeda.kuna wanawake nao anakua anataka akuonje tu akuache so check out waweza jua kua umepata kumbe umepatikana.
 
playgirl.....cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sana inatokea ukikutana na ke waliubuhu bila kuolewa!
Waweza kuta mbunye linamakoko wallah!
 
Sio kwa kwetu wanawake tu hata wanaume inawakuta sana....
 
Ata kwa wanaume naona inawauma sana.Kuna mtu alinizimia sana kama mwaka anafukuzia nikampa once alafu nikakata network.Alijisikia vibayaaa.

Btw Wanaume mnadhani sex inawa favour nyie utasikia nikamgegeda.kuna wanawake nao anakua anataka akuonje tu akuache so check out waweza jua kua umepata kumbe umepatikana.

Hahaaaaa lol bigup naona mleta mada kapata jibu sahihi
 
Haya mambo yanatokea ila mtendwa anateseka sana.....

Naomba niishie hapa...ila kuna mtu unatamani ungekuwa na jinsi ya kumficha ili asionekane popote duniani!

Ndiyo maana huwas sisahau usemi wa bibi kwamba, "hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe!!
 
Ata kwa wanaume naona inawauma sana.Kuna mtu alinizimia sana kama mwaka anafukuzia nikampa once alafu nikakata network.Alijisikia vibayaaa.

Btw Wanaume mnadhani sex inawa favour nyie utasikia nikamgegeda.kuna wanawake nao anakua anataka akuonje tu akuache so check out waweza jua kua umepata kumbe umepatikana.

(Like times a thousand)!
 
Back
Top Bottom