Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

Mara moja tu kisha anapotea: mwanamke unajisikiaje?

Haya mambo yanatokea ila mtendwa anateseka sana.....

Naomba niishie hapa...ila kuna mtu unatamani ungekuwa na jinsi ya kumficha ili asionekane popote duniani!

Ndiyo maana huwas sisahau usemi wa bibi kwamba, "hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe!!
Ukubwa ni dawa nimeona mkuu
 
Sio kwa kwetu wanawake tu hata wanaume inawakuta sana....

Mimi sijawahi kuona hembu nifanyie hivyo ,uone kama hukujilaumu wewe.....tukikutana salamu tu kama haijatokea vile
 
Dah hiyo kitu inafanya mtu ujiskie ovyo sana
yani najiona "nimeonjwa"

Ha ha ha halafu baada ya week anatokea mwingine anakuambia twende tutoke unamchukuliaje?previous relationship haiwi imeku affect?
 
Ukubwa ni dawa nimeona mkuu

Ni jambo baya sana kwa yeyote linayemtokea bila kujali jinsia yake..

Tatizo ni kwamba ndiyo ubinadamu...huwezi kuendelea kula chakula ambacho roho imeghairi!
 
Tukiwa in love tunakuwa na imaginations zetu tu zinatu changanya......love is blind....sex is reality...labda after sex unagundua bad breath, au matiti kumbe ni wonder bra tu....au usafi mdogo wa mwili au hana 'interesting conversation wakati wa sex' au tu 'hamna compatibility kitandanani' au ham connect sexually.....kuna so many factors
Kweli nimeamini hizi factors ni strong kushinda hata gharama ulizozitumia
 
Ni jambo baya sana kwa yeyote linayemtokea bila kujali jinsia yake..

Tatizo ni kwamba ndiyo ubinadamu...huwezi kuendelea kula chakula ambacho roho imeghairi!
Ni kweli mapenzi ni uwanja mpana sana.....!!
 
Ha ha ha lol....
basi kumbe hiyo smtms inatokea kwa bahati mbaya especially unapokuta mambo ambayo hukuyategemea

Kwa mfano wewe expectations zako ni zipi ukikutana na New date?
 
Ha ha ha lol....
basi kumbe hiyo smtms inatokea kwa bahati mbaya especially unapokuta mambo ambayo hukuyategemea

Bora umegundua kuwa inaweza kumtokea yeyote...

Tatizo ni wanawake kudhani kuwa wao ndio wahanga wa haya mambo peke yao.....Hata wanaume yanawakuta tena sana!

Bahati nzuri hadi nastaafu sikuwahi kukumbwa na hilo dhahama!
 
Mmmh babu ndo kusema mambo yako yalikuwa yanatiki siku zote?
hakuna siku "ulionjwa"
 
It depend, kuna mtu unaeza kumuona unaanza ku imagine mambo yatakavokuwa
unahisi atakuwa very good kwa bed, ila unakutana na makolokocho
mmmh no way inabidi kula kona tu....

Nahisi hivi vitu humu ndani ndo ugonjwa wako
 
Back
Top Bottom