Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Waulize watakujibu.
Wewe ni mgonjwa!
Waulize watakujibu.
Jamani hizo ni changamoto tu za kibiashara ambazo zinatatulika kama una nyenzo. Dreamliner imetua jana kutoka Mumbai ikiwa na mzigo wa kutosha ... madawa kama sikukosea ingawa sina hakika idadi ya abiria. wiki iliyopita ilikwenda Bombardier ikazua mjadala huko kwenye media kuhusu mabadiliko ya aina ya ndege. Kwa ujumla ndivyo ilivyo katika kuendesha biashara, huwezi kuwaridhisha wote.
Air Tanzania imepata nafasi ya kuruka hadi London, na hapa ndipo mtihani mkubwa unapoanza maana huko masharti yao yanakuwa magumu zaidi kulingana na matakwa ya wateja na hapa ndipo aina ya ndege inapokuwa na umuhimu.
Muda utaongea.Una imani ya kuogopesha. Demand ya kitu chochote huwa haifichiki kama ipo. The bottom line is: biashara ya ndege kwa approach hii ya jiwe ni failure from the starting point.
Wewe ni mpuuzi.Wewe ni mgonjwa!
Wewe ni mpuuzi.
Hahahahahaha hahahahahaahhaah jamani khaaaaHahaha JPM angekuwa rubani, angekuwa analiwasha kila siku analiondoa litakapoishiwa mafuta hapohapo anatua na kugeuza, yeye hajali lina abiria au la, anataka wananchi waone linapiga mzigo.
Go soak your head.Please yourself.
Go soak your head.
Kuna wanaomkwamisha mkulu asifanikiwe si bure.Nani tena anatukwamisha?
Use your loaf.Another....?
Use your loaf.
Kuna rubani nilimuuliza akasema ndege inayofanya hivyo ni ile Airbus A220 na kinachotokea ni kuwa wakati wa kutua wanapunguza nguvu za engine to idle, then engine zenyewe zikihisi ndege inaweza ku-stall(kuishiwa nguvu ya kuruka na kuanguka) zinajiongeza nguvu kidogo, yale mapanga yanaongeza mzunguko ndio huo mlio unasikika na ndio maana unasikika ikiwa inakaribia kutua.Kwanini hii ndege hutoa milio kama ya breki kali kila inapopita karibu na anga za kwetu??
Hivi una moyo wa kuipanda hata?
Mi siwaamini
Your English sucks.Keep on....! Am being entertained with this (currently in queue in one of government units which is living up to the general reputation of this government of being massively incompetent). You helping me cope with the frustration.