Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

View attachment 1166958

Hawajasitisha safari zipo ila they don’t fly everyday
IMG_20190801_180836.jpg
 
Kwani ni ajabu ndege kuahirisha safari ya siku mmoja au mbili? Mbona huku ulaya ndege zina ahirishwa tena ni mashirika makubwa...
Utetezi hafifu, sasa zile screen short zenu kutuonyesha inasafiri kesho zilikuwa za nini, ndege tangu wiki iliyopita haijasafiri yenyewe ni ku cancel tu.
 
Issue ni hawa mabeberu wajingajinga, wanatuingilia sana!!
 
Kazi kweli kweli , tuweni wapole tu hamna namna
 
ATCL ipo kufanya siasa na sio kufanya biashara. Sasa siasa za kuwagawa watanzania, kuwachukia wageni na matajiri zimeanza kuzaa matunda, maana kuna wasafiri wa ndege wanazikwepa hizo ndege kwa makusudi kabisa. Wanaona ni bora wakapanda Ethiopian Airline, Rwanda Airways.

Kwa sasa kuna hadi makada wa kijani (wale waliokatwa mikia) nao hawazipendi hizo ndege.
Na ndio sababu ya kuipeleka Ofisi ya Rais ili isikaguliwe na CAG!!
 
We kweli Quinine hii dawa sitaki hata kuiona
 
Utetezi hafifu, sasa zile screen short zenu kutuonyesha inasafiri kesho zilikuwa za nini, ndege tangu wiki iliyopita haijasafiri yenyewe ni ku cancel tu.
Kweli wewe mungu amejaza matope kwenye kichwa chako badala ya ubongo.
Hata kama nimeleta screen shoot ya ratiba inayo kwenda lakini safari unaweza kuahirisha wakati wowote. Hapa Europe pammoja na kua na mandege na mashirika ya hali ya juu lakini ndege ziliwahi kuahirishwa nikiwa Mimi mwenyewe mmoja wapo kama abiria, tena ineahirishwa siju mmoja kabla ya safari.
Kwahiyo siku mmoja au mbili kuahirishwa safari ndio makelel yote hayo. Kweli waafrika tuna safari ndefu sana,.. nonono mmeshatumbuliwa sasa mnahangaika. Poleni sana
 
Hapa Europe ndio wapi au lengo lako tujue uko ulaya.
 
Hapa Europe pammoja na kua na mandege na mashirika ya hali ya juu lakini ndege ziliwahi kuahirishwa nikiwa Mimi mwenyewe mmoja wapo kama abiria, tena ineahirishwa siju mmoja kabla ya safari.
Kwahiyo siku mmoja au mbili kuahirishwa safari ndio makelel yote hayo. Kweli waafrika tuna safari ndefu sana,.. nonono mmeshatumbuliwa sasa mnahangaika. Poleni sana
Unaposema hapa Europe ni sawa na kusema hapa Afrika.

Hii ndio Europe.

1. Russia
2. Germany
3. United Kingdom
4. France
5. Italy
6. Spain
7. Ukraine
8. Poland
9. Romania
10. Netherlands
11. Belgium
12. Greece
13. Czechia
14. Portugal
15. Sweden
16. Hungary
17. Belarus
18. Austria
19. Serbia
20. Switzerland
21. Bulgaria
22. Denmark
23. Finland
24. Slovakia
25. Norway
26. Ireland
27. Croatia
28. Moldova
29. Bosnia and Herzegovina
30. Albania
31. Lithuania
32. North Macedonia
33. Slovenia
34. Latvia
35. Estonia
36. Montenegro
37. Luxembourg
38. Malta
39. Iceland
40. Andorra
41. Monaco
42. Liechtenstein
43. San Marino
44. Holy See
 
Kweli wewe mungu amejaza matope kwenye kichwa chako badala ya ubongo.
Hata kama nimeleta screen shoot ya ratiba inayo kwenda lakini safari unaweza kuahirisha wakati wowote. Hapa Europe pammoja na kua na mandege na mashirika ya hali ya juu lakini ndege ziliwahi kuahirishwa nikiwa Mimi mwenyewe mmoja wapo kama abiria, tena ineahirishwa siju mmoja kabla ya safari.
Kwahiyo siku mmoja au mbili kuahirishwa safari ndio makelel yote hayo. Kweli waafrika tuna safari ndefu sana,.. nonono mmeshatumbuliwa sasa mnahangaika. Poleni sana
Tulia dawa iingie, tutaongea lugha moja muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom