Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

inawezekana alikuwa nao erasto alikuwa mzinzi sana................
 
Acheni utotoo saasaaa jadilini hoja
Hii hoja inataka asante Yesu Kristo kwa ajili ya kusikiliza maombi yetu haki itendeke kwa walishuhudia kwa kuona jinsi Annette alivyouwawa kikatili mkono wa MUNGU utende makuu
 
Uwiii mali ndio zinapelekea hadi kumuua mwenzio kinyama vile?

Kama ni kweli huyu mama hakuwa hata na huruma na kale katoto ka marehemu Annette. Nikiikumbuka ile picha ya mtoto wa marehemu amekumbatia picha ya marehemu mama yake wakati wa msiba naona uchungu sana kwa ajili ya yule mtoto. kwa kweli haki itendeke japo uhai hauwezi kurudi!
 
Kama kweli huyu mama ndio alipanga mauaji ya wifi yake atakuwa mjinga kushirikisha house girl, kwanza kitendo cha house girl kuacha kazi ghafla tena boss wake akiwa kazini ni udhaifu mkubwa, bora angeacha kabla au wangemwacha aendelee na kazi, kukuacha kazi na siku hiyo hiyo mauaji yanatekelezwa na mtu asiye mpelelezi angeanza kumtafuta house girl
 
Dah...Haya unayasema leo?? Kwanini usiyaseme mapema ungewasaidia polisi 🙂🙂
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
Weka tetesi mkuu, huyu Dada yake Erasto ndiyo yule waliyekuwa wanasema anatembea na bro wake au?
 
Funguka mbaba
 
Yawezekana akawa ndiye muuaji,
Ila plan ambayo aliifanya kwa Aneth ni foolish plan, akili yake sio nzuri
Alishidwa kuwafuata wale wataalamu wa mauaji ya njia ya ajali kwenye kile chama wampe stratigic well plan?
 
True,Spirit that plan to kill,plans also how to be killed,because the mission is to destroy you. Therefore some one with such spirit will have poor plans to protect himself when he have killed another man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…