Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

uwiii kati ya matukio ya mauaji ya kijinga niliyowahi kushuhudia ni hili...walishindwaje ata ,kumzimisha beki taraa na kumfunga vikamba vya uongo na ukweli....elimu elimu elimu!!! wacha anyee debe kubwa jinga shenzi kabisaaa
 
std 7 miriam
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
We nae sasa unaficha nini kwenye mambo ya msingi? Nyie ndio mnaturudishaga nyuma...mboga ishamwaga we unaogopa nini kumwaga ugali
 
Kama kuna ka ukweli fulani hapo maana katika pita pita zangu A Town mwezi May 2016 nilisikia sikia za chini ya kapeti kama hivyo.
 
Taratibu mambo yanajulikana
 
Hapo mwisho rekebisha kuna shida kidogo. Aliyekamatwa sio dada wa marehemu bali mke kufuatia maelezo aliyotoa binti wa kazi wakati wa mahojiano na polisi
Mshana Jr ulichokisema mbona muhandishi hajaandika hivyo au umesoma story vibaya jaribu kusoma tena
 
Ni bora iendelee kuwa tetesi, kama ni kweli basi ni wazi ule usemi kuwa damu ya binadamu ni nzito unatimia!
 
Duh...
 
hahaha ni kweli jamaa kurudi kutoka kusaka mkwanja, maana alimwacha mkewe anauza duka la nguo kakuta vumbi...... mwenye mkwanja keshabeba mke....πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› wake yule mrangi alisononeka sana.
 
hahaha ni kweli jamaa kurudi kutoka kusaka mkwanja, maana alimwacha mkewe anauza duka la nguo kakuta vumbi...... mwenye mkwanja keshabeba mke....πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› wake yule mrangi alisononeka sana.
Malipo hapa hapa tu...wanadhani shetani ni jidudu flan lenye Sura yakutisha kumbe Shetani ni MTU wakawaida kabisa daaah..
 
Kabisa ni kweli atakuwa ndio pia aliomuua bwanake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…