tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,771
Hapo pagumu sana mana kuna viashiria vingi kuhusu yeye mariam.....istoshe kuna mtu mwingne kakamatwa juzi ucku mountmeru hotel ni mtu wa karibu yake.police huwa hawakosei kamwe jua hiloKuchomoka atachomoka kwa uweza wa mungu maana mungu ndio hakimu kushinda mahakimu wote kwenye hii dunia na anahukumu kwa haki akisema ndio hakuna wa kusema hapana
Naonaaa umefikaaa KWENYE nchaa....mojamojaaa linakujaa mpwaa huyuu dadakavumiliaa mengi acheni kabisaadada ake yupi huyo marehemu au....
Police huwa hawakurupuki kwenye swala zito kma hili....kuna shida tena kubwa tu kwa mariam
Upelelezi cku zote huanzia kwa watu wa karibu yko hilo la mariam kuna viashiria wameona ndio mana amekamatwa.hakuna story za mitaani hapa hata jamaa aliekua anatembea nae kakamatwa na istoshe gari alioenda nayo dar mara kwa mara nayo imepelekwa dar.....police wanaushahidi kua kahusikaeti police hawakurupuki mbona walikurupuka kumkamata x-husband wa marehemu let's not conclude mkuu anaweza kua Na shida nyingine huyo Miriam lakini sio ya kuua kizembe hivyo Hacheni story Za vijiweni
Amen. ...kwa kweliAnajidai haoi kaskaz,nani alimwambia tunataka wanaume wasiyo na hela,kwanza ukimuua mtu km huyo unapata dhambi bure.ende kule
Kama upelelezi unaanzia kwa watu wa karibu basi wangeanza na ndugu zake miriam tangu mume wake alivyokufa hakuwahi kumuona mpaka anathe alivyokumbwa na umauti ni miaka 3 hajamuona na hakuwa na sababu za kumuua huyo anatheUpelelezi cku zote huanzia kwa watu wa karibu yko hilo la mariam kuna viashiria wameona ndio mana amekamatwa.hakuna story za mitaani hapa hata jamaa aliekua anatembea nae kakamatwa na istoshe gari alioenda nayo dar mara kwa mara nayo imepelekwa dar.....police wanaushahidi kua kahusika
Police ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaaHapo pagumu sana mana kuna viashiria vingi kuhusu yeye mariam.....istoshe kuna mtu mwingne kakamatwa juzi ucku mountmeru hotel ni mtu wa karibu yake.police huwa hawakosei kamwe jua hilo
Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila ckuPolice ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa
Usinambie?!?!!!...mkuu hebu funguka kidogo, ujue nafatilia kwa karibu comments zako, kama hutajali njoo PM plseDada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku
Kaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?
Kwa ilivyokiwa sio raisi kwa maid kuwa timu moja na mke wa marehem, lakini ni rais mno kiwa timu moja na mama Aneth, NI SIMPLE LOGIC TU
Cc: HOPECOMFORT
I
I strongly agree,wamama wa mererani wana Tamaa kubwa sana ya Mali Za Watoto wao they can do anything for money iwe kwa kuua Au kwa kua Na uhusiano Na mtoto wake wa kiume kimapenzi yupo radhi ajilengeshe kwa mtoto kisa mali
Hapo pagumu sana mana kuna viashiria vingi kuhusu yeye mariam.....istoshe kuna mtu mwingne kakamatwa juzi ucku mountmeru hotel ni mtu wa karibu yake.police huwa hawakosei kamwe jua hilo
Huyo mama namfahamu hata mimi mara ya kwanza sikuamini.ila kuna viashiria vingi vinamlenga yeye bila kusingiziwaUnazidi kuwamaliza mkuu.... Wenyewe wanakuja na kauli za kila aina. Kama kweli huyo mama hausiki si wakae kimya mahakama ifanye kazi yake? Mashaidi wenyewe si ndo wao kwanini wasisubirie siku ya kesi? Nahisi wanazidi kumuharibia huyo mama Simon.
Hatareee...Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku
Police ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa
Kuna uwezekano maana naona na gari walilotumia wauaji limekamatwa nafikiri kwa sasa litakuwa limefikishwa Dar. Lilichukuliwa CMC ni Toyota Hilux rangi ya bluuNasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauaji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Upelelezi ni FANI watu wanakalia DESK miaka mingi then wanaGraduet...so sio kitu yakukurupuka....kwenye huo Msala asiehusika ataachwa aliehusika atapata iliyostahili yake Inavyoonekana Serikali imeamua kufanyakazi kweli kweli kwenye hii KesiKama upelelezi unaanzia kwa watu wa karibu basi wangeanza na ndugu zake miriam tangu mume wake alivyokufa hakuwahi kumuona mpaka anathe alivyokumbwa na umauti ni miaka 3 hajamuona na hakuwa na sababu za kumuua huyo anathe
Kama imefikia hapo Noma sana!Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku