Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mbona unasikitika?
Kwa sababu mi mchaga na hatuna hayo mambo ya kuuwa ndugu zetu. .....huo mpango ni wa kilimbukeni sana. ..na in reality hiyo familia inakuwa imefunikwa na LAANA ZOTE. ..maana huyo miriam au mariam msuya ataishilia kuzika watoto wake wote na yeye mwenyewe dunia itampiga vibaya sana. Ni mambo mazito na yanahitaji HEKIMA ya MWENYE ENZI MUNGU kuyatambua. .... na haya yote yaliyojiinua katika familia ya Msuya mpaka kufikishana hapo ni LAANA kubwa iliyokuwa imejificha katika vizazi vilivyopita. Waombe toba sana. .... inatia uchungu kwa kweli!
 
Hahaha yupo mmoja yuko anawakilisha Tz Olympics anaitwa somebody Mushi anafanya PhD hapo Univ of Adelaide
Wewe usimwingize mwanangu katika ma issues kama haya..ushindwe na ulegee. ..kabisa Walahi
 
Hahahaha.
Kule kwa Mange insta, kuna mtu kakoment kuwa, wanawake wa Kipare sio kabisa kuhusuana na hii ishu, watu walimnawa, hadi akaomba poo.
Wanawake wa kipare wakoje? Maana Nina mchumba mpare nategemea Mungu akipenda aje kuwa mama chande wangu...

Angalizo:
Nampenda sana Hutu tu manzi alafu ni bikra kwahiyo siko Tayar kumwacha hata nisikie nn kumuhusu.
 
ni kweli kabisa
 
Duuuuh Ni Hatari Sanaaaaa.
 
nyani haoni makalio yake,mbona na wewe umeandika kimombo??πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Use your brain my dear. I wasnt asking him/her not to use English, I was simply asking him/her to use a language that he is fluent in. I am fluent in both languages although when i want to avoid grammatical errors or when am not sure... i stick to my mother tongue. Go back and read his original comment then come back here and comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…