Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

Lisasi imeingia kwenye ini!! Basi kumbe skui izi na lisasi zipo feki.
 
Yaani hapa TL ni miujiza tu, tumpeni tu status ya 'mwenye heri' ili maneno yatimie!
 
  1. Gazeti la Lumumba labda linapiga lamri
  2. Magogoni wanaota hivyo
  3. Makondakta anawashwa na albadir iliyosomwa
  4. Machemba ktk kufikiria kuwa vijana wake hawajatekeleza vyema basi anaamua kuhisi hivyo.
  5. Masiro naye ktk kupagawa anajinyea huku akihisia hivyo.
Kuna mtu mmoja muhimu hujamweka No. 6.
6. Yohana Alcohilic MapdLocks.......... anafikiria......Plan B!!!!
 
Mbunge wao Mnyika alishangilia mauaji ya Kibiti bungeni.
Sio mnyika peke ake.lema.msigwa.mnyika.mdee.yaani woote walikuwa wanaomba mauaji yaendelee.na waliokuwa wanauwawa ni viongoz wa ccm.watumishi wa serikali, na maafisa wa polisi.na kw matamko yao chadema iwe majukwaani,mitandaoni,na kwenye vikao vyao vya siri na vya wazi,wanatamka wazi kbs tena kw kutumia kipaza sauti na mchana kweupe kuwa ADUI MKUU WA CHADEMA NI CCM,SERIKALI NA VYOMBO VYAKE VYA DORA.ss jiulize km hoja ni hiyo ni nani alikuwa anawauwa vingoz wa ccm.watumishi wa serikali,na maafisa wa polisi kibiti??!! JIBU NI RAHISI TU.NI HAO VIONGOZ WALIOKUWA WAKITOA MATAMKO MA MATANGAZO.
 
Mbona una kuwa mkali???!!! Ss baba zetu na kaka zetu wameuwawa kibiti mbona ulishangilia na hukuonyesha kuguswa???!!@
 
mungu amtie afya apone haraka. ila tanzania sio somalia.

Ameen. Sina hakika kama alishambuliwa kwa sababu za kisiasa au tofauti ya itikadi. Walaaniwe wote waliohusika na kitendo cha kinyama kumjeruhi ndugu Tundu. Apone mapema na atendewe haki kwa udhalimu aliofanyiwa.
 
Unataka nini?

kesho hawa hawa watasema nyonga haifanyi kazi, kwa hiyo hawezi mambo mengine. ni siri ya daktari na mgonjwa, tuntka Lissu apone thats it.

details za ndani sio nzuri mkuu, kubali kataa
 
upasuaji ulishafanyika, risasi zilikua 8, hakuna iliyotolewa kwenye ini, hiyo mnaforce kuiweka nyinyi kwenye akili zetu.
 
du! kwa hiyo tujiandae kwa taarifa mbaya? Leo ini kesho kingine mwisho unaambiwa mwili na roho havishirikiani.Tuko tayari kupokea taarifa yoyote maana wahuni waliishamaliza kazi yao na huenda wanapongezana kwa ushetani wao


Mwenyezi Mungu akusamehe kabisaa. Na natangaza kukuombea msamaha maana kwa akili yako sio rahisi
 
Mi najiuliza, CDM hawana assets au pesa za kumpeleka Marekani?! Eti Nyani Ngabu, huko Marekani gharama sh ngapi?

Marafiki zake Lowassa Sijui wako wapi Siku hizi?
Chadema wanamtumia Mange Kimambi kuhamasisha Michango wakati wanae Laigwan Edward Ngoyai Lowassa

Ingekuwa enzi zile ingepigwa Harambee Moja takatifu hela Zingesombwa kwa Pick up
 
Back
Top Bottom