GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,872
- 4,604
Kwa hiyo nguvu ya Mungu inaishinda ile shetani!kwa hiyo
Kwa hiyo nguvu ya Mungu inaishinda ile shetani!kwa hiyo
Kumpiga risasi ndio kubaya.kesho hawa hawa watasema nyonga haifanyi kazi, kwa hiyo hawezi mambo mengine. ni siri ya daktari na mgonjwa, tuntka Lissu apone thats it.
details za ndani sio nzuri mkuu, kubali kataa
Mlipokuwa mnapiga tumbo la Tundu Lissu mliagana na risasi zisiende kwenye ini? au ini siku hizi linakaa shingoni?upasuaji ulishafanyika, risasi zilikua 8, hakuna iliyotolewa kwenye ini, hiyo mnaforce kuiweka nyinyi kwenye akili zetu.
gaidi moja hili hapa..Mlipokuwa mnapiga tumbo la Tundu Lissu mliagana na risasi zisiende kwenye ini? au ini siku hizi linakaa shingoni?
Mtaweweseka sana!
Mbona umekuwa mkali mkuu kulikoni?kwa hiyo
Huna muunganiko wa fikra, umeshindwa kufikisha ujumbe ulioukusudia.gaidi moja hili hapa..
angalieni mkabila asiwafanye mandondocha..
mtajibu hoja kwa risasi hadi lini vilaza ?
sawa dada !Huna muunganiko wa fikra, umeshindwa kufikisha ujumbe ulioukusudia.
Sio habari njema.kwa hiyo
Nenda kanyonye. Kukaa kimya pia ni busara.kwa hiyo
This dude Waberoya is a piece of prick.kwa hiyo
Aliyetunga huu uzushi akili yake haina AKILI!
yaani risasi ifike kwenye ini na bado mtu abaki kuwa hai mpaka leo?!
mie sio daktari lakini ktk hili nimegoma!
Get well Tundu Lissu.
Asante kwa pole, zifanyike juhudi zozote, CDM watumie raslimali zozote walizonazo kuokoa maisha ya Lissu, wampeleke Marekani, bora chama kifirisike, huyu mtu apone, ni muhimu sana ( ninahisi kama ulinielewa negatively).Pole sana Marekani ataenda unadhani ni rahisi kama unavyoona kumtoa hapa to MAREKANI atakwenda na ndio mtazidi kushangaa tena soon
hatari tuwe wawazi anaweza asipone, ini siyo Jambo la kuchezeaHabari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.
Hata kama ilipiga kwenye Moyo bado Mungu wake anamhitaji awepo duniani kwani Uzima na Mauti juu ya Muumba....aliyemfyatulia Lissu Risasi Lissu ikimpendeza M/Mungu atakufa kabla ya Lissu,ingawaje yeye alidhani ammeshamuua Lissu!Tuendelee kumuombea afya njema "Mpigania haki na utawala wa kisheria" Tundu LissuHabari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.
Tumuombee Lissu apone aendelee na maisha yake na familia yake pia wanatamani kujumuika nae tenakwa hiyo