If God has kept him todate , he will live even longer . God is ebenezerTulichotaka kujua kwake ni kuwa yuko hai,na yuko hivyo,tunajua alimiminiwa risasi mwilini na huo ndiyo mwili wenyewe,NINI KIPYA?
If God has kept him todate , he will live even longer . God is ebenezerTulichotaka kujua kwake ni kuwa yuko hai,na yuko hivyo,tunajua alimiminiwa risasi mwilini na huo ndiyo mwili wenyewe,NINI KIPYA?
Wewe ni mpango wa nani ?!Mwenyewe nimeisoma hiyo habari kupitia gazeti la JAMHURI,hakika tundu lissu ni mpango wa mungu
Ulikutana nae wapi huyo mungu akakupa hizo porojo !?Tumsifuni bwana,bwana wa majeshi kwa maajabu aliyo yaonyesha kwa General kamanda Lissu. Mungu anamtambua lissu kama mtetezi wa wanyonge wa kweli.
Chezea kaskazini wewe ! ...Lema na Mbowe wanapishana zamu tuu !Kwa lisu mpaka anapona utasikia imetumka trilion moja wacha nivute popcorn niendelee kuchek hili movie
Utakufa na roho mbayakwa hiyo
nimeipenda technical detailed analysis!!Kwenye ini huwa siyo ishu sana,kwani ini linasurvive hata kikitoka nusu ya kipande,fatality rate ni 60%.
Fatality rate ya risasi ya kichwa ni 90%.
Risasi ya kifuani ni 80%.
Tumbo ni 50% to 60%.
Angeenda USA huko ndo kila siku wanatibu majeraha fatal ya risasi na wana experiance kutokana na kutibu wanajeshi wao wanaokuwa wameathirika toka iraq,afaghnistan,syria etc
Mbunge wao Mnyika alishangilia mauaji ya Kibiti bungeni.Mbona mlikuwa mnaomba mauaji ya kibiti yaendelee tu,leo imekuwaje tena !!!??? Endeleeni tu lushsngilia na hili.
iliingia kwenye INI!! , Halafu mnasema ni mzima!!!!!; Hizi saikolojia za kupumbaza watu wapoe zimepitwa na wakat. Semeni ukweli Lissu ana hali gani?Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.
apone vipi na unaambiwa risasi iliingia kwenye ini?Tumuombee jamaa apone haraka . Mungu anakusudio lake kwenye hili.
Utakua mchawi wewe hata shetani hana roho mbaya kama yakokwa hiyo
Mi najiuliza, CDM hawana assets au pesa za kumpeleka Marekani?! Eti Nyani Ngabu, huko Marekani gharama sh ngapi?Mwanahalisi ya Jana tarehe 18/9/2017 Front page ' wameandika risasi Moja ilinasa kwny Wallet
du! kwa hiyo tujiandae kwa taarifa mbaya? Leo ini kesho kingine mwisho unaambiwa mwili na roho havishirikiani.Tuko tayari kupokea taarifa yoyote maana wahuni waliishamaliza kazi yao na huenda wanapongezana kwa ushetani waoMwenyewe nimeisoma hiyo habari kupitia gazeti la JAMHURI,hakika tundu lissu ni mpango wa mungu
Mbona ini linakatwa na bado watu wanaishi vizuri tu. Ini sio kama puto kwamba ukilitoboa linasinyaaa acha kuvamia taaluma za watu! Kitu cha hatari ni kama risasi ingefika kwenye mapafu au moyo au mishipa ya shingo na kichwani huko kwingine kunatibika kijanaapone vipi na unaambiwa risasi iliingia kwenye ini?