Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

Teh teh teh!! Inabidi nicheke maana tuamini lipi
 
Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.
Hausomeki
 
Tuweze kuthamini uweza wa Mungu na kujua kuwa ipo sababu ya Mungu kuuhifadhi uhai wa Tundu Lissu. Omba kwa kumaanisha kuhakikisha huyo mwovu hatumii tatizo hilo kuleta madhara juu ya Lissu. Mungu hupenda tumuambie kila kitu kila wakati.
 
Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.

Kikubwa tumuombe Mungu ampe afya njema tena
 
Tumsifuni bwana,bwana wa majeshi kwa maajabu aliyo yaonyesha kwa General kamanda Lissu. Mungu anamtambua lissu kama mtetezi wa wanyonge wa kweli.
 
Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.
Acha udaku....taarifa mbadala zilizosambaa ni kuwa risasi moja iliingia kwenye wallet aka pochi ya Tundu Lissu. Tunamwombea afya yake izidi kuimarika. Amen
 
Kwenye ini huwa siyo ishu sana,kwani ini linasurvive hata kikitoka nusu ya kipande,fatality rate ni 60%.

Fatality rate ya risasi ya kichwa ni 90%.

Risasi ya kifuani ni 80%.

Tumbo ni 50% to 60%.

Angeenda USA huko ndo kila siku wanatibu majeraha fatal ya risasi na wana experiance kutokana na kutibu wanajeshi wao wanaokuwa wameathirika toka iraq,afaghnistan,syria etc
 
Mbona mlikuwa mnaomba mauaji ya kibiti yaendelee tu,leo imekuwaje tena !!!??? Endeleeni tu lushsngilia na hili.
 
Mungu hajawahi kumwangusha mjawake. Ee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kuimarisha afya ya Lissu. Amen
 
Habari zingine kama.zi za uhakika tuwe tunaachana nazo, maana kwa wale wanaoelewa kiungo Ini, wanaelewq ukiwambia ini limepigwa na il risasi ni kiungo very delicate sana, once damaged no recovery at all.

Ingawa Mungu ndiye aliyeumba bwana na yeye ndiye aliyetuletea Lissu, bado atapona hata kama alipigwa kwenye Ubongo.

Back
Top Bottom