Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Ni aibu sana mtoto wa kiume kukashifu kwao na kusifia kwa jirani huo ni udhaifu mkubwa na dalili mbaya hasa kwa zama hizi zilizojaa maovu
 
Mkuu flyover ya TAZARA imejengwa kwa pesa za Ufalme wa Japan na pesa za serikali ya Tanzania. Daraja la Kenyatta hadi Sea view ndilo linajengwa kwa pesa za Korea Kusini.
 
Mkuu flyover ya TAZARA imejengwa kwa pesa za Ufalme wa Japan na pesa za serikali ya Tanzania. Daraja la Kenyatta hadi Sea view ndilo linajengwa kwa pesa za Korea Kusini.

Mkuu, shukran kwa kunirekebisha.
 
Wewe usiye na taarifa sahihi usitugombanishe na serikali ya Japan iliyogharamia ujenzi wa daraja la TAZARA.

Uko sawa, nimesahihisha.

Japan TAZARA, na Korea kusini kupitia benki ya Exim ni kwa daraja la Salender.

Shukran.
 
Endelea na ngonjera za kujifanya hamdaiwi thubutuuu mnamideni mpaka uvunguni na Hanna cha maana kilichofanyika zaidi ya kujifanya ukichaa wa kununua korosho
Mkuu lengo lako hasa la kuanzisha huu ilikua kutujuza au kubishana?
 
Lengo ilikuwa kuwajuza tu, wakati nyinyi mnaimba mapambio kwamba mko kweny raiti track ujue kuna wenzenu wamewapiga gape na wala hawajivuni. Sisi miaka mitatu tunapiga stori za flying over kichefuchefu ya tazara. Mambo mengine tuoneni aibu jamani.
 
Kila mty hujikuna ajipatapo. Kwani tusifurahie kitu ambacho hatukuwa nacho?
 
TTCL hii ambayo sasa inakwenda kuanguka tena au ipi?
 
Yaani hutaki watu washangilie mafanikio ya nchi? Watu kweli mna roho ya korosho.
Sio kwamba nashangilia mafanikio ya wengine unapojisifu unakimbia angalia wenzio walipo. Ndio gape lenyewe hilo, bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…