Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Yaani Kwa daraja hilo ndio umeconclude Maputo kuizidi dar?
Aliyekuroga kafa tena kafa Kwa ndonda!
 
Kutamani vya jirani sio kitu kizuri. Hujui nini kagharimika. Mchuchuma na liganga vyatosha watuache.
 
Wewe usiye na taarifa sahihi usitugombanishe na serikali ya Japan iliyogharamia ujenzi wa daraja la TAZARA.
 
Acha utani ! Eti tuta kubwa ! Hiyo ni fly over ya uhakika yenye kiwango .
 
Jiwe ana miradi mingi mikubwa..hao wengine wanajaribu kupitia jiwe..kumbuka jiwe ana mradi wa bomba la mafuta from tanga to UG..jiwe ana mradi mkubwa wa ufuaji umeme wa stieglers gorge..jiwe ana mradi mkubwa wa SGR na utafika kigali..jiwe ana harakati za kuhakikisha ndege zake zinafika India,Guangzhou mpaka USA..huyo ndio jiwe..bado mna miaka saba ya kula ndimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…