Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Nasari alitoa ushaidi wa Mnyeti akitoa rushwa kununulia madiwani wa Arumeru ulisaidia nini wewe nyambafu!!!!!!

Usinitukane, tumia tu maneno ya kawaida na ustaarabu ati.

Halafu hayo unayoongea si mahala pake hii mada yahusu Msumbiji.

Anyway napenda mchango wako ila punguza hasira na jazba.

Hiyo ya Nassari na ushahidi mimi ndo nasikia leo kutoka kwako.

Sasa turudi kwenye mada ya Msumbiji.

Je ni sawa nchi hiyo kujiwekea akiba kubwa ya deni kwa kisingizio cha kujenga daraja?
 
Bora hao sana deni lakini walichokopa kinaonekana sisi tunakopa kuhamia Dodoma, tunakopa kununua vitu invisible
 
Bora hao sana deni lakini walichokopa kinaonekana sisi tunakopa kuhamia Dodoma, tunakopa kununua vitu invisible

Tanzania haijakopa kujenga flyover ya TAZARA bali ni msaada wa kutoka Korea Kusini.

Na ni haohao wakorea wametoa tena msaada wa kujenga daraja la Salender.
 
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital

Kwa hiyo Watanzania wasishangilie kwa sababu Mozambique nao wamezindua daraja lao? Kila hatua unayopiga maishani ili mradi sio hasara una haki ya kushangalia, hata kama mwingine amefanya zaidi. Kwanini Watanzania tunapenda kuongea katika nafsi ya KUTOWEZA?
 
Msumbiji huko mbeleni lazima watatafutana. Wengi wanashabikia mafanikio bila kuangalia ya gharama ya hayo mafanikio.
Mchina hatari sana.
 
Acha mambo ya ajabu mtoa maada.
Kwahio unataka watu wasisherehekee kupata degree ya 1 kwa sababu kuna watu wenye phd.

Au mtu asisherehekee siku ya kuzaliwa akiwa na miaka 24 sababu kuna wazee wenye miaka 69..

Sisi tunafurahia daraja letu kwa nafasi yetu acha na wao washerehekee lao.

Maana hata china wana madaraja na flyover kubwa tu zaidi ya hio ya msumbiji lkn msumbiji wanashangilia
 

Shukrani kwa kuileta hii maana nimemuuliza jamaa ameshindwa kuisoma.

Sielewi kama ni kiingereza au !
 


Kumbe uSHamjua jiwe, ye kazi yake ni kuwaprove wati wrong
 
Wewe kweli kasi noma, ungejiita sarcoma kabisa. Yaani unajitia. Vijimifano vyako uchwara shida yetu sisi ni tambo za bongo kama vile wao ndio best in Africa . aka donor country hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…