Mapungufu ya mabasi ya Tahmeed

Mapungufu ya mabasi ya Tahmeed

Hapa kwenye Burudani ndani ya Gari bora hata na Tahmeed
Kuna siku nimepanda basi fulani(MGHAMBA) toka Arusha to Geita toka mwanzo wa safari hadi mwisho ni KASWIDA utazani safari ya kwenda KUHIJI MECCA wakati kanda zile inajulikana wale watu ni adimu
Pole sana... Walitaka wakuslimishe
 
Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;

1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria

2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi

3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.

4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "

5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
Mabasi mbona yapo mengi, sio lazima upande hilo
 
Kwa experience yangu ni wapo on time, speed yao ndogo lakini ni salama.hawajazi abiria wanasafiri na uzito unaotakiwa.mtu alienda na mzigo wake mkubwa alikataliwa. Sema wanayo advertise kwenye basi lao mengine wanaongeza chumvi
 
1. Siyo kweli, inategemea ulipanda lipi, kuna moja la Arusha - Dar, dereva wake ni mwembamba halafu ni chain smoker wa sigara, mwendo kasi wake Siku ufurahia.
2. Wanazidisha uzito halafu mkifika karibu na mizani wanafaulisha abiria. Ilitutokea pale msata, wakaja kuwapandisha Ruvu darajani, nilitaka kuripoti hili tukio lkn ndani hakukuwa na sticker wala namba za Sumatra.
3. 90% ya aliyosema mtoa mada ni kweli.
4. Sifa unazosikia za haya mabasi kiukweli ni tofauti sana uhalisia wake. Nimeshapanda Rungwe, Kidia One, Dar Lux ... kuna tofauti kwenye Huduma!!
5. Tahmeed mjirekebisha na zingatieni ubora na huduma kwa wateja, ila kwa sasa silipandi tena mpaka nisikie mmejirekebisha.
 
Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;

1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria

2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi

3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.

4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "

5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
Kwani umeambiwa lazima upande mabasi na kupiga kwaya ndiyo sifa ya basi za Arusha? Kwaya kasikilize kanisani katika basi kun abiria wa itikadi tafauti na dini tofauti
 
1. Bila shaka wale ni muslims na maadili ya kiislam c ya kumuexpos mwanamke ktk maxingira magum yaufanyaj kaz kama hayo ya ukonda, wamerely ktk religouis scriptures

2. Kupewa nin ndan ya gar inategemea na mambo meng ikiwepo kiwango cha nauli uloyotoa, aims za tajiri na vipaumbele vyake kwa abiria wake..

3. Tajir ni muslim na madereva wao ni waislam tena walikuliya kwny malezi ya diyn, kwaya kwao nimkitu ingine.. Moshi na Arusha kwaya znapigwa sana kweny magar hii inategemea na mmiliki wake pia na dereva mwenyewe etc

4. Me mbona nlipanda yenye toilet? Haujafanya utafit wa kutosha kweny hoja hii ya toilet

5. Kuhusu hotel za kichov cjui kwa ni 7bu gan pengine hawana maslah nao kibiashara... in adition huenda wakawa wanakwepa hotel znazopika kitimoto
 
Nadhani mleta mada amezoea gari nyingi za dar-ar kupiga kwaya. Ukweli ni kuwa wengine hatupp kabisa kwenye ukanda huo wa kwaya ila kwakuwa tunasafiri tunalazimika kukaa kimia. Kama huwapigi kwaya ni jambo la kushukuru kwakweli na sio kulalamika.

Usafiri wa umma unabeba watu wa dini tofauti tofauti hivyo ishu za imani ni muhimu kuziangalia vizuri. Kutokupiga kabisa ni jambo jema zaidi.

Hata hivyo haya magari yanapaswa kubadilika, waoneshe vitu vya maana sio miziki na movie zao za kila siku. Nadhani watu makini wanapaswa kuja na ishu za kuonesha documentary tu mwanzo mwisho. Kuna vitu vingi vya kujifunza na kuachana na ishu za mazoea. Naunga mkono tahmeed kutokupiga kwaya na wasije fanya hilo kosa kabisa.
 
1. Bila shaka wale ni muslims na maadili ya kiislam c ya kumuexpos mwanamke ktk maxingira magum yaufanyaj kaz kama hayo ya ukonda, wamerely ktk religouis scriptures

2. Kupewa nin ndan ya gar onategemea na mambo meng ikiwepo kiwango cha nauli uloyotoa, aims za tajiri na vipaumbele vyake kwa abiria wake.. moshi na arusha kwaya znapifwa sana kweny magar hii inategemea na mmiliki wake pia na dereva mwenyewe etc

3. Tajir ni muslim na maderrva wao ni waislam tena walikuliay kwny ahuen ya diyn, kwaya kwao nimkitu ingin

4. Me mbona nlipanda yenye toilet? Haujafanya utafit wa kutosha kweny hoja hii ya toilet

5. Kuhusu hotel za kichov cjui kea 7bu gan pengine hawana maslah nao kibiadhara... in adition huenda wakawa wanakwepa hotel znazopika kitimoto
Pera wewe umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom