Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
KIPA namba moja wa Tanzania, Ivo Philip Mapunda, usiku huu amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, akitokea Gor Mahia ya Kenya.
Ivo anasaini Simba SC, baada ya kungara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara Kilimanjaro Stars katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu.[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Kipa Ivo Mapunda akitia dole gumba kwenye fomu za usajili za Simba SC baada ya kusaini usiku huu pembeni ya Katibu wa Simba SC, Wakili Evodius Mtawala kulia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD][/TR]