Mapunda Apindukia Simba -Picha

Mapunda Apindukia Simba -Picha

changia kwa hoja bila matusi ndio nitajibu, ujuha wako ni kwamba hujui unaongea na nani humu
Acha Upumbavu na Ujinga! Wewe Umeichangia Nini Simba Yetu Mpaka Sasa? Yaani Ujanja Wote huo Ulikuwa Hujui Kama Tatizo Letu Kubwa Lilikuwa ni Golikipa? Wewe wa Wapi? Yaani Huoni Kweli! Ili Nijue Kuwa Wewe Kweli ni Mdau wa Mpira hebu Niambie Kabla Ya Kumsajili Berko na Mapunda Simba Ilikuwa na Matatizo ktk Idara Gani au Ipi? Acheni Ubwege Nazi Wenu!
soma context sio maudhui
 
Hizi tetesi za OKwi ni kweli mkuu?

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Okwi (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za Yanga.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Ametua Jangwani; Emmanuel Okwi ataitumikia Yanga SC kwa misimu na nusu ijayo. Chini ni Bin Kleb kushoto akiwa na viongozi wenzake wa Yanga SC, Mussa Katabaro na Seif Magari.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Etoile du Sahel ya Tunisia ilimnunua Okwi kutoka Simba SC Januari mwaka huu kwa dola za Kimarekani 300,000, lakini mchezaji huyo akaamua kuachana na klabu hiyo na kurejea kupumzika kwao Uganda, kwa madai hakulipwa mishahara kwa miezi mitatu.
Wakati huo huo, Etoile hadi sasa haijailipa Simba SC fedha zake za kumnunua mchezaji huyo na sakata lake limefikishwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Baada ya Okwi kukaa bila kucheza kwa miezi sita, Shirikisho la Soka la Uganda (FUFA) lilimpigania aruhusiwe kurejea nyumbani kuichezea SC Villa ya huko ili kunusuru kiwango chake.
Hata hivyo, baada ya kung'ara na timu ya taifa ya Uganda ‘The Ceanes' nchini Kenya kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwezi huu , Okwi anasajiliwa Yanga SC.
Bin Kleb amesema kwamba walimsajili Okwi tarkiban siku sita zilizopita, lakini Hati yake ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) imepatikana leo na ndiyo maana wameamua kumtangaza.
"Amesaini mkataba kiasi cha siku sita zilizopita, ila taratibu za uhamisho zimekamilika leo. Atakuwa nasi kwa misimu miwili na nusu ijayo,"alisema Bin Kleb.
Alipoulizwa kuhusu utata wa sakata lake ambalo limefika hadi FIFA, Kleb alisema; "Tumefuatilia kote, hadi kwa wanasheria, na tumefanikiwa kupata hadi ITC yake, nawaambia mashabiki wa Yanga wajue viongozi wao wanafanya kazi, hatuna stori nyingi, sisi tunafanya vitendo, tunafanya kazi kwa siri sana,".
"Na tumepitia sehemu zote, tumeona kabisa tuko sahihi katika kumsajili mchezaji huyu na hakutakuwa na tatizo lolote upande wetu,"alisema.
Bin Kleb alisema lengo la Yanga SC ni kufanya vizuri katika Ligi ya Mbingwa Afrika mwakani na ndiyo maana wameamua kuimarisha timu kwa kusajili wachezaji wazuri.
 
Back
Top Bottom