Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

Ameshasema safari za nje kwa mtumishi wa serikali hakuna mpaka kibali maalum..kibali maalumu maana yake lazima kuwe na sababu kuntu...
Sasa likizo ni sababu kuntu?

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Mapumziko ya Mh.Rais yanatufundisha nini?,Ingalikuwa ni Rais asiye mzalendo wa kweli,

Jisikitikie kwa kuandika hayo maneno ya uzalendo juu ya Rais wetu.

Kama unaisoma namba endelea tu kuisoma.

Tumepata Rais ambaye wengi tukifikiri kumpata hata kwa anayofanya ingekuwa ndotoni tu

Kwa hiyo wewe ni mzalendo eeeeeeh kivipi.... shwaaaaa
 
Hivi huyu anachukua likizo Mara ngapi kwa mwaka?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini watumishi wengine wa serikali wasipewe nafasi ya kupumzika mara kwa mara kama yeye? Au wao likizo ya mara moja kwa mwaka inawatosha? Tuanzie hapo kwanza.
Kwani hawapati? Tuna ratiba za kupumzika mwezi mzima yeye anaenda mapumziko kwa week moja moja nne kwa Mwaka tofauti yake Nini?
Zaidi ya yote huitumia likizo hizo kama sehemu ya tiba na kutibiwa kama hayuko sawa.
Nadhani huu Ni utaratibu mzuri wa mfano badala ya kung'ang'ania kuja kuwashika mkono Everton

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀😀😀, I see. Watu mna utani sana. Kwani aliandika PhD yake kwa Lugha ipi hasa?
Mkuu ukianza kugusa hiyo PhD uwe na tahadhari kidogo, au umesahau aliyepotea?
 
We ng'ombe yaani kukaa nyumbani ndo uzalendo
 
Kwanini watumishi wengine wa serikali wasipewe nafasi ya kupumzika mara kwa mara kama yeye? Au wao likizo ya mara moja kwa mwaka inawatosha? Tuanzie hapo kwanza.

duh
muhenga umeua
 
Mbona wewe huendi au hupajui?

mkuu, ulichemka....ukapata wajinga kibao kukuunga mkono he is there to stay for the next 7 good yrs

pole tena, pia siko babati wala katesh....wala kwenu mbundu


nilipo hauwezi kuja fikia hata ufanye nini
 
Hiyo T-shirt ni ready made au ya kushonesha?

Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukianza kugusa hiyo PhD uwe na tahadhari kidogo, au umesahau aliyepotea?
Najua mkuu, ndio sababu nikamjibu kwa tahadhari kijana anaedharau Kiingereza cha mkubwa
 
Hili jumba ndio la mzalendo haswa, yaani anastahili kuitwa mzalendo big up mnyonge mwenzetu.
 
Back
Top Bottom