Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

natamani nijue hii tshirt imeandikwa nini..Eniwei tunamtakia mapumziko mema, akitoka huko aje kuendelea kunyoosha majizi
Yaani unashindwa kusoma barua ndani ya Bahasha. yaani umeshindwa kuona H pale karibu na kidole gumba?
Ngonja nikusomee. Imeandikwa I love my Home Country. Neno love limebebwa na picha ya moyo.
 
Mihemuko na siasa za njaa, hapa kama ni mimi nawalipa hizo 7000/= huyu anachezea deshi.

brain is the beautiful part of the body.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ccm ila imebidi nicheke pekeangu
 
Hayo maneno utafikiria labda nchi hii imeshawahi kupata Rais njee ya CCM ina maana kwa maneno hayo unakashifu na kujaribu kuwa vua nguo walio mtangulia ambao ni wazee wenu jaribu kupima kabla ya kuandika kijana wa Lumumba...

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Mkuu ni lini ulisikia akiliccm huwa wanatafakari kabla ya kusema au kuandika? wakishajivua nguo wanasingizia upinzani kwa sauti pana na nyororo!
 
Mwaka huu tutaona mengi hadi likizo ni kitu cha kusifia?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ccm ila imebidi nicheke pekeangu
Mleta uzi ni mpuuzi mkuu, anawatukana JK. MWINYI na MKAPA kireja reja kabisa tena hadharani kwenye mitandao!

brain is the beautiful part of the body.
 
natamani nijue hii tshirt imeandikwa nini..Eniwei tunamtakia mapumziko mema, akitoka huko aje kuendelea kunyoosha majizi

Nafikiri itakuwa imeandikwa hivi;
image.jpeg


Namaanisha hivi;
image.jpeg


Au hivi, zinapendeza sana hizi T-shirts.
image.jpeg
 
daughter bibi yako, kaa chini ya CCM mpaka upate akili.
hahahaaa too tempered!! chill up, i bet you've a very deep phobia towards ccm & jpm as well, don't keep on holding a hot barrel...your palms gonna be fckD
 
Ni Mungu peke yake anaehitaji sifa na kutukuzwa na sio binadamu, angalia msihe mkafanya yale ya farao!
 
MARA moja moja aende ngambo akacheki michongo ya huko na kuji mix na viongozi wenzake

OvA
 
Back
Top Bottom