mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,173
akiwa chato anatakiwa wooote waliomsindikiza wawe wanakula mihogo, viazi, magimbi chai ya rangi hili kupunguza gharama na kuwasapoti wakulima wa kule.
Wanaudhi sana hawa vijana.Nimeyapenda sana hayo maneno niliyoyawekea rangi kumjibu babati. Hawa vijana wa siku hizi wanafikiri kizungu ni cha maana sana duniani wakati katika lugha zinazoongewa sana duniani, kiswahili kinashika nafasi ya 12
2015 mpaka leo una like 11 sababu ya upuuzi wako, watu hawazikubali point zako, shabikia CCM utakiona cha moto muulize Diallo leo sembese wewe sisimizi.Hayo ni matatizo ya kuhamishia busara katika kidole cha mwisho miguuni, ndio umeambiwa grow wise because you are posting none sense points
2015 mpaka leo una like 11 sababu ya upuuzi wako, watu hawazikubali point zako, shabikia CCM utakiona cha moto muulize Diallo leo sembese wewe sisimizi.
Sababu unaandika ujinga mtupu, kaa CCM ila ipo siku utapata akili, waulize akina Manji, Nape, Lowasa, Sumaye, Diallo n.kUnataka like? ngoja nikupe tuone kama zitaongeza uelewa wako
Mkuu mwaka huu tutayaona mengi kweli. Mapumziko ulyanasifiwa kweli???Mwaka huu tutaona mengi hadi likizo ni kitu cha kusifia?
😀😀😀😀😀, I see. Watu mna utani sana. Kwani aliandika PhD yake kwa Lugha ipi hasa?Akapumzike ng'ambo kwa lugha ipi ambayo atakuwa anatumia?
Aliandikiwa na Kabudi😀😀😀😀😀, I see. Watu mna utani sana. Kwani aliandika PhD yake kwa Lugha ipi hasa?
Itakua aliandika kwa kisukuma mkuu..😀😀😀😀😀, I see. Watu mna utani sana. Kwani aliandika PhD yake kwa Lugha ipi hasa?
Mkuu naomba usiguse suala la PhD yake, tutaingia matatani sasa hivi.Itakua aliandika kwa kisukuma mkuu..
Hahahaha.... Watu hawana maana. phd tukufu isiyojua English
Inabidi iundiwe tume ikachunguze phd iyo kwa kweli
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Jamani!.Aliandiwa na Kabudi
"Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwakuwa ufalme wa mbinguni ni wao"