Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

an idiotic mind. Kwani kuna mtu mmoja anayejua lugha zote duniani? Ina maana hawasafiri kwenda katika lnchi ambazo lugha zao hawazifahamu? Kweli, kuondoa upumbavu kichwani kwa mtu ni kazi.
Mzee Mkapa ashamaliza,
Wala usiumize kichw ndugu

"Wapu..... Na malo....."

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
natamani nijue hii tshirt imeandikwa nini..Eniwei tunamtakia mapumziko mema, akitoka huko aje kuendelea kunyoosha majizi
Imeandikwa [emoji173] my Home[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
tmp_3268-fb_img_1499868909948-1557722374-jpg.540545
Kama kuna mtu anamjua mjukuu yoyote wa rais Putin ani PM ..nitatoa zawadi.
 
natamani nijue hii tshirt imeandikwa nini..Eniwei tunamtakia mapumziko mema, akitoka huko aje kuendelea kunyoosha majizi
Imeanza na alama ya kopa(love) alafu maandishi ya tshirt ni "my Heart"
 
Kwa Mara kadhaa,watanzania tumeshuhudia Mh.RAIS wetu kipenzi cha watanzania akitumia Muda wake mwingi,Nguvu zake na Akili zake zote kuwatumikia watanzania usiku na Mchana.Ameonesha Uzalendo kwa watanzania na Taifa kwa ujumla.

Mh.Rais yupo nyumbani kwake Chato kwa mapumziko mafupi baada ya Ziara na kazi kubwa ya kujenga Taifa.Mapumziko ya Mh.Rais yanatufundisha nini?,Ingalikuwa ni Rais asiye mzalendo wa kweli,Mapumziko haya angeweza kuyafanya nchi za ng'ambo,Marekani,Dubai,Uingereza na Mataifa mengine makibwa yenye Nguvu ya Kiuchumi.

Mh.Rais,kwa kuthamini,Kujali na kutetea maslahi mapana ya kodi za Watanzania,Mh.Rais Yupo Chato kijijini kwake,Amekomaa na Tanzania yake.Najua Jamaa zetu wanatamani sana Mh.Rais asafiri nje ya nchi hata kwa siku moja tu.Lakini Mjomba ni Boda tu Boda.(Home movement).Serikali ya JPM INA sikio la usikivu sana,Kwanini imesikia ?

Vyama vya siasa vilijipatia umaarufu sana kumseama sana Mh.Kikwete na viongozi waliopita kuwa safari zao za nje ya nchi ni Matumizi mabaya ya kodi za watanzania,Chai Ikulu ni Matumizi mabaya ya kodi za watanzania,Semina na walsha ni Matumizi mabaya ya kodi za watanzania,Posho za vikao ni Matumizi mabaya ya kodi za watanzania nk,nk.

JPM,kwa hekima ,unyenyekevu na kwa Sauti ya upole akasema "NIMESIKIA KILIO CHENU" sasa everything STOP.Hakuna safari Nje ya nchi,hakuna posho,hakuna chai ya Ghalama nk,Wakaanza ooooh,Ooooh mbona Rais hasafiri nje jamani!!!!! Oooooh mbona posho hazitoki jamani!!!!!!!,Ooooh Safari za nje wabunge vipi jamani!!!!!!! nk,nk.

"Nimesikia kilio chenu,Sasa ni kila MTU awajibike sawa sawa na Maombi yake" Huyu ndiye Rais anayeendelea kugonga vichwa vya HABARI Duniani nzima kwa utendaji wake,kwa misimamo yake,kwa uzalendo wake,na kwa Uadilifu wake wa hali ya Juu.Lazima tuige mfano wa Kiongozi wetu Mkuu.

Tuendelee kumuombea matashi mema MH.Rais na serikali yake,Tuendelee kuwaombea Viongozi wetu wa chama cha mapinduzi ,Lakini tuendelee kuwaombea pia wale wa upande wa Pili ili waendelee kubatizwa kwa moto.Watanyooka tu.

Mungu Ibariki Tanzania
Ndefu sana....hebu fupisha mkuu. Yani kwa buku Saba tu ndio unaandika gazeti lote hili???
 
Toka lini ameanza kupenda watoto. Yani maigizo kama bongo movie
 
Makala hii imetufundisha kuwa watumishi wa umma wote wanaochangia kuleta maendeleo ya nchi nao wathaminiwe na wagharimiwe likizo zao kwa wakati na kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wao.
 
fundisho liko wapi sasa hapo? nimeipenda hiyo picha na mjukuu wake,

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Hapo hakuna fundisho alieleta wezi ni ccm ndie anadai takataka za makinikia
 
Rais gani wa Tz alikuwa akienda mapumziko ng'ambo? Sina kumbukumbu.

Sent from my LG-D801 using JamiiForums mobile app
 
kwa hili naunga mkono. sio mzee mkapa eti mapumziko anaenda lushoto badala ya masasi.
 
Back
Top Bottom