Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

Mapumziko ya Rais Magufuli Chato ni fundisho

Naunga mkono hoja

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Mbona Bashite yeye Likizo anaenda kwa Madiba SA????......Twaweza waliweza wasio Na elimu hawachunguzi wala kuhoji wao Ni Yes sir.
 
Kwanini watumishi wengine wa serikali wasipewe nafasi ya kupumzika mara kwa mara kama yeye? Au wao likizo ya mara moja kwa mwaka inawatosha? Tuanzie hapo kwanza.
hata watumishi siku 28 zinawatosha sana. au unadhani yeye magu anazidisha siku hizo??? anaweza kwenda chato hata mara4 kwa mwaka kwa siku 7 x4=28days.
mtumishi wa umma pia unaweza kuomba siku 7 mara nne ukawa unaenda kwenu kupumzika. hakuna sheria inayokubana kwamba lazima uchukue siku zote 28 kwa mara moja. kwenda mapumzikoni kwa raisi wetu mara kwa mara haimaanishi anazidisha siku 28 kwa mwaka.

labda njoo na ushahidi amepumzika siku ngapi kwa mwaka ili tuanzie hapo, kwenda mara kwa mara chato na kama hajazidisha siku 28 katika mwaka, anakuwa sahihi kabisa.
 
Akapumzike ng'ambo kwa lugha ipi ambayo atakuwa anatumia?
Wote wakienda vocation china au uturuki wanakijua kituruki au kichina?,au mspanish akija kutalii mbuga za wanyama ngorongoro lazima akijue kiswahili?,jiongeze basi na wewe kidogo

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Wote wakienda vocation china au uturuki wanakijua kituruki au kichina?,au mspanish akija kutalii mbuga za wanyama ngorongoro lazima akijue kiswahili?,jiongeze basi na wewe kidogo

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Tofauti kiongozi na raia wa kawaida,
 
Yaani unashindwa kusoma barua ndani ya Bahasha. yaani umeshindwa kuona H pale karibu na kidole gumba?
Ngonja nikusomee. Imeandikwa I love my Home Country. Neno love limebebwa na picha ya moyo.
oh basi vizuri...msalimie,
 
Kalale huko huna mpya

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
tmp_3268-fb_img_1499868909948-1557722374-jpg.540545
Nasikia huyu ni Mhenga aliyesema Asiyefanya kazi Asile
 
"Mh. RAIS wetu kipenzi cha watu!"

Hivi kipenzi cha watu ndio kupendwa na watu!?

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Kwanini watumishi wengine wa serikali wasipewe nafasi ya kupumzika mara kwa mara kama yeye? Au wao likizo ya mara moja kwa mwaka inawatosha? Tuanzie hapo kwanza.
Yaani mkuu huoni Mkulu akiwa mapumzikoni pia wafanyakazi wanapumzika? Wanaombea aongeze likizo ziwe nyingi ili wapumue kidogo.
 
Masamaki na wenzie wako huru sijui tusemeje juu ya makonteina kumbe ilikuwa ni kiki tu
 
natamani nijue hii tshirt imeandikwa nini..Eniwei tunamtakia mapumziko mema, akitoka huko aje kuendelea kunyoosha majizi


Yaani nimecheka sana maana haa mimi nilitamani haswa kujua

huyo ni mwana au mjukuu?
 
Anafahamu kizungu kuliko wewe. Lakini hata kama angekuwa hafahamu, angeweza kwenda na hela yako mwenyewe ingelipa wakalimani. Grow wise kijana. Huyo ni Rais wa Jamhuri siyo mhuni mwenziyo.

Havome

Nimeyapenda sana hayo maneno niliyoyawekea rangi kumjibu babati. Hawa vijana wa siku hizi wanafikiri kizungu ni cha maana sana duniani wakati katika lugha zinazoongewa sana duniani, kiswahili kinashika nafasi ya 12
 
Back
Top Bottom