Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Imeandikwa "My Kopa (Love) Husband"......ni zawadi kutoka kwa Mama mkuu (First lady).natamani nijue hii tshirt imeandikwa nini..Eniwei tunamtakia mapumziko mema, akitoka huko aje kuendelea kunyoosha majizi