Broo hata ukiwaza hivyo ni jinsi Sisi watu weusi ndo tunaweza jiuliza Maswali kama hayo.A guy decided to use his dick for peeing. And ONLY for peeing and y'all gon come hot on him why he ain't fvcking?
Probably bro is gay and he finna figure out his id.
Ndo Napo elekea if God wishMiez 5 tu unageuka kuwa motivational speaker wenzako ndani ya miaka 8 tumefanya mara 1 tu
30+Miaka yako itakuwa kwenye 20 to 24 hivi. Kama ni zaidi ya hapo una tatizo.
OKey.
Wengi mashoga walikuwa na tabiaa hizo za kisengeremo tangia wakiwa wadogo.Mdogomdogo utageuka shoga
Nimefanya mapenzi Kwa mara ya Mwisho
Tar 6 Feb 2020 mpaka sasa sija kutana na mwanamke yeyote.
Namshukuru Mungu Kwa maana nimetimiza malengo yangu mengi makubwa sanaaaa.
Najua ninge ngonoka nisinge fika hapa nilipo.
Siri
1.Mazoezi Sanaa
2.Kuangalia Series kali za kusisimua
3.Kusoma majarida na vitabu mfano wa Motivational books.
Kufanya kazi nyingi online na hata Ku enjoy na Jf.
Na mpaka sasa sija dhurika na nimezidi kuwa fit Sanaa Kwa misuli wepesi na ngozi nzuri isio fubaa.
Ngono sio nzuri ukiendekeza.
HahahahahahahaUkitafakari kwa kina bwana ngono ni tendo la kutia aibu sana.Yan watu mnakua kama akili zime "noki" kwa muda .na linatia kinyaa