Mapumziko ya kufanya mapenzi

Mapumziko ya kufanya mapenzi

Tu sipo nae Bali wapo wengi hata ninao fanya nao kazi.

Na hata wao wenyewe wanatamani Sana wangonoke na mimi lakini nimeweka nadhiri na sitaki ni ivunje.

Ngono si njema.

Ila pia nieleweke nazungumzia Ngono.
Na si mapenzi ndani ya ndoa
Life with out sex !
Is one big illution.
 
Nimekuzidi siku mbili mkuu,mimi tangu feb 4 mwaka 2020,na sijapungukiwa chochote.
 
Kwani kugegeda Ni sifa?
Ni sifa hasa Kwa Sisi Wa Africa na ndo maana tamaduni zetu zilitawala Sanaa mpaka ndoa za mitala na watoto zaidi ya 20.

Ila kweli maisha bila Ngono ni mazuri Sanaa.

Kwakuwa Una kuwa so free huna mawazo ya kufikiria Ngono na pia unajikuta Una muda mwingi wa kupumzika na kutafakari kazi zako na hata muda wa kutosha Sanaa katika kazi zako.

Na mwisho kabisa kuwa na Nguvu ya akili maana inakuwa na uwezo wakufikiria Kwa kuwa akili inakuwa free
 
A guy decided to use his dick for peeing. And ONLY for peeing and y'all gon come hot on him why he ain't fvcking?

Probably bro is gay and he finna figure out his id.
 
Labda huna demu mkuu....au upungufbwa nguv za kiume
 
Labda huna demu mkuu....au upungufbwa nguv za kiume
Upungufu sina kabisa na ndomaana Nina sifa ked ked za urijali hata niamkapo na hata nitazamapo.

Lakini ni uwamuzi tuu kuishi hivi Kwa muda wangu tuu nlio jipangia ila kweli nifaraja na rahaa sanaa
 
Hili nalo nenoo, mzee njoo ujibu hapa.
Wapo tuu wengi hata mitaa.

Lakini unaweza tuu kuamua sitaki na sitaki na sitaki.

Acha niishi bila kupakana wala kugusana
Basiii ule vzri ulale vyema na hata uwe huruu.
 
Back
Top Bottom