Mapumziko ya kufanya mapenzi

Mapumziko ya kufanya mapenzi

Kumbe kama haupo naye kwa sasa inamaanisha Hauna.
Ungekuwa unalala naye kila siku, ndo ningekuona unachakujisifia.

Asa we unalala kipweke tu afu unasema hujasex, Ulitaka ufanye na nani sasa?
Tu sipo nae Bali wapo wengi hata ninao fanya nao kazi.

Na hata wao wenyewe wanatamani Sana wangonoke na mimi lakini nimeweka nadhiri na sitaki ni ivunje.

Ngono si njema.

Ila pia nieleweke nazungumzia Ngono.
Na si mapenzi ndani ya ndoa
 
Kwani kutokugegeda ni sifa?
Ni sifa Kwa kada ya age yangu
Uweze kuishi bila ya kungonoka ukiwa na uhakika wa kula.
Hata uwakika wa kulala.

Kwakuwa kibongo njemba ukiweza kuleta ugali gheto kunasiku unaleta na mwanamke gheto wa kungonoka nae.
 
Nimefanya mapenzi Kwa mara ya Mwisho
Tar 6 Feb 2020 mpaka sasa sija kutana na mwanamke yeyote.
Namshukuru Mungu Kwa maana nimetimiza malengo yangu mengi makubwa sanaaaa.

Najua ninge ngonoka nisinge fika hapa nilipo.

Siri

1.Mazoezi Sanaa

2.Kuangalia Series kali za kusisimua

3.Kusoma majarida na vitabu mfano wa Motivational books.

Kufanya kazi nyingi online na hata Ku enjoy na Jf.

Na mpaka sasa sija dhurika na nimezidi kuwa fit Sanaa Kwa misuli wepesi na ngozi nzuri isio fubaa.

Ngono sio nzuri ukiendekeza.
Wee bwana sema huna hela tuu 🤣🤣🤣🤣
 
Ni sifa Kwa kada ya age yangu
Uweze kuishi bila ya kungonoka ukiwa na uhakika wa kula.
Hata uwakika wa kulala.

Kwakuwa kibongo njemba ukiweza kuleta ugali gheto kunasiku unaleta na mwanamke gheto wa kungonoka nae.
Kumbe huna uwawika wa kula?..Pole sana

I'm kidding
 
Sasa ndugu wajisifu nn?.Si bora uoe kama nadhiri yako yakutuma hivyo otherwise chill tu hamna cha sifa hapo.
Huyo mwenza wako naye anafanya mazoezi au mlikula kiapo pamoja usije ukawa unang'arisha ngozi mwenzako anafubiasha na mashababi huko.
 
February to October mbn sio mda mrefuuu ukizingatia mpnz wako yupo mbali angekuwepo ungeweza ht Kwa muda huo?

But hongeraa maana umeona manufaaa yake ya kuiepukaa zinaa
 
N༙A༙K༙U༙K༙U༙M༙B༙U༙S༙H༙A༙!!!

H༙A༙K༙I༙K༙I༙S༙H༙A༙ T༙A༙R༙E༙H༙E༙ 28 O༙C༙T༙O༙B༙E༙R༙ U༙N༙A༙M༙P༙I༙G༙I༙A༙ K༙U༙R༙A༙ W༙A༙K༙I༙L༙I༙ M༙S༙O༙M༙I༙ M༙H༙E༙S༙H༙I༙M༙I༙W༙A༙ T༙U༙N༙D༙U༙ L༙I༙S༙S༙U༙.
#NIYEYE
 
Nimefanya mapenzi Kwa mara ya Mwisho
Tar 6 Feb 2020 mpaka sasa sija kutana na mwanamke yeyote.
Namshukuru Mungu Kwa maana nimetimiza malengo yangu mengi makubwa sanaaaa.

Najua ninge ngonoka nisinge fika hapa nilipo.

Siri

1.Mazoezi Sanaa

2.Kuangalia Series kali za kusisimua

3.Kusoma majarida na vitabu mfano wa Motivational books.

Kufanya kazi nyingi online na hata Ku enjoy na Jf.

Na mpaka sasa sija dhurika na nimezidi kuwa fit Sanaa Kwa misuli wepesi na ngozi nzuri isio fubaa.

Ngono sio nzuri ukiendekeza.

Nina wiki sasa sijafanya ila nimejikuta na hasira kali na msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom