Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

Sawasawa wanapenda sana kuumiza mind za dada zetu waende wakatulie huko kusiko julikana maana haiwezekani somo moja nilisoteee kama nasomea Uchawi kwa sababu tuu umesikia natembea na mrembo fulani MALIPO HAPAHAPA DUNIANI
 
Ni kweli kwamba serikali kupitia utumishi imesema mwisho wa profesa au mwalimu wa chuo kuongezewa mkataba ni miaka 65. Hili ni jambo la kusikitisha ikizingatiwa uhitaji mkubwa wa waalimu hasa wa level ya juu kama maprofessor. Uamuzi huu haukuzingatia ukweli kuwa kuna wakati serikali ilisimamisha ajira zote za umma kwa kipindi cha miaka 10 kwa ushauri waliopewa na sijui ilikuwa ni IMF au ni world bank. Kwa mktadha huu serikali inampango wa kugeuza vyuo vyake vyote vya umma kuwa vyuo vya kata kwa kuwanyima mikataba waalimu walistaafu beyond 65yrs.

Ukiangalia ikama ya wafanyakazi wa vyuo vikuu vya Umma, ukatadhmini na huo uamuzi unaweza kulia
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Ume generalise sana. Maprofesa wetu wote siyo wabaya kiasi hicho. Pia taifa limewekeza kiasi kikubwa sana kuwasomesha. Hivyo wanafaa kuwezeshwa kuendelea kutumia utaalamu wao, haijalishi katika Chuo Kikuu au Taasisi ya utafiti gani ili mradi ni ndani ya Tanzania. Hivi sasa kuna utitiri wa vyuo vya elimu ya juu. Katika vyuo hivyo walimu wengi wako overloaded kiasi cha kuathiri efficiency yao. Vyuo vingine havina walimu wakutosha. Nitashangaa sana iwapo vyuo hivyo, serikali na maprofesa wenyewe watashindwa kutumia fursa hii. Lakini all in all, this must be good news for Mr Kagame. Naamini atawachukuwa wengi halafu tutaanza kumwita mkorofi na kulaani !
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Tatizo wanabana ili waoneka wao tu ndo wanaweza hizo nafasi. Acha serikali iwafanyie kazi. Wanawabania kuajili ma TA!
 
Acheni kutetea ujinga. Hao maprofesa wa UD, wamepeana huo uprofesa kwa urafiki. Mngelikuwa mnaongelea maprofesa wa ulaya au marekani ningewaelewa. Angalieni vigezo vinavyotumika kutoa uprofesa hapa UD ndio mtaelewa. Wanapeana uprofesa kwa urafiki na kujuana. Kama mkandara ni rafiki yako, hata kesho unapata uprofesa kwa kuandika makala hapa JF. Kwa kifupi, hawana machapisho yanayoeleweka katika majarida ya kimataifa, halafu nyie bado mnawaita maprofesa. Waende kuendesha baa zao na kufuga kuku.


Liar!! Hakuna chuo Tanzania hii kiko makini kwa kupandisha wahadhiri madaraja kama UDSM! Hakuna prof. aliyepata uprof kinyemela UDSM, ila kuna waliokuja na Uprof toka majuu wakawa demoted kwa sababu ya kutokidhi viwango vya UDSM!
 
.. Mi yangu ni mawili. Kwanza nasikitika kwamba maprof. wamenyimwa mkataba ktk nchi ambayo kuna wenye bachelor wanaofundisha bachelor digrii na wenye masters digrii wanaofundisha wanaosoma masters digrii. Hata nchi na vyuo vilivyoendelea kama MIT ya US hawajafikia nyodo hizo. MIT maprof. wanafia campus!

Pili ni kwa mapro
f. wa UDSM, wajitahidi kuchapa kazi, wamekuwa wavivu kiasi kwamba unaweza ukadhani wanawabania vijana wanaochipukia. Unakuta Prof. hajasoma Dissertation ya mwanafunzi kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka bila sababu ya msingi. Yuko bize na senti za project baada ya kuzinduka kukiwa kumekucha. Wanafunzi wasiojasiri wanashindwa kuwachukulia hatua maprof. hawa maana wana heshima chuon na unakuta wamemfundisha Mkuu wa Idara mpaka VC! Imekuwa kawaida sasa digrii ya masters ya miaka 2, kuchukua miaka hadi 5! Hapo wajirekebishe, ndipo tuwaonee huruma kwa kunyimwa mikataba!
 
Liar!! Hakuna chuo Tanzania hii kiko makini kwa kupandisha wahadhiri madaraja kama UDSM! Hakuna prof. aliyepata uprof kinyemela UDSM, ila kuna waliokuja na Uprof toka majuu wakawa demoted kwa sababu ya kutokidhi viwango vya UDSM!

Ha ha ha ha ha!!! Haya kaka umeshinda!!! Nimesoma hapo mlimani, na nimebahatika kusoma vyuo vya nje!!! Nawashukuru ya UD kwa kuweza kunipa nafasi hiyo ya kuchungulia nje ya dunia hii ya tanzania. Trust me, hao unaoita maprofesa hapo UD, waliopanda kwa vigezo "vikali", wakitia mguu kwenye vyuo kama yale, princenton, stanford, California Berkely, oxford, etc etc, hawawezi kupewa hata rank ya assistant lecturer!!!
 
kwa hiyo kabla ya mkandara hapakuwa na maprofesa!hebu nipe mfano wa aliyeandika JF akaukwaa uprofesa!

Kaka ninaposema JF, sina maana hiyo. Hebu chungulia CV ya Benson Banna ambaye anakaribia kuukwaa uprofesa anytime soon na huyu mama wa department of political science, Yale University. Linganisha, halafu utakuja kutetea hao maprofesa wako wa hapo UD, political science.
Professor Benhabib has written extensively in her area of expertise.
She is the author of a number of books, including...
Situating the Self. Gender, Community and Postmodernism in Contemporary Ethics (1992; winner of the National Educational Association's best book of the year award
Together with Judith Butler, Drucilla Cornell and Nancy Fraser, Der Streit um Differenz 1993;
The Reluctant Modernism of Hannah Arendt (1996; reissued in 2002; Hannah Arendt und die Melancholische Denkerin der Moderne, Suhrkamp 2006)
in English, Feminism as Critique (1994)
German, Selbst im Kontext, Suhrkamp 1995
The Claims of Culture. Equality and Diversity in the Global Era, (2002)
The Rights of Others. Aliens, Citizens and Residents (2004), which won the Ralph Bunche award of the American Political Science Association (2005) and the North American Society for Social Philosophy award (2004); translated as Die Rechte der Anderen (Suhrkamp 2008)
Another Cosmopolitanism: Hospitality, Sovereignty and Democratic Iterations, with responses by Jeremy Waldron, Bonnie Honig and Will Kymlicka (Oxford University Press, 2006)
Dignity in Adversity. Human Rights in Troubled Times (UK and USA: Polity Press, 2011).
German, Kosmopolitismus und Demokratie (Campus 2008)

[TD="width: 8%"] [/TD]
[TD="width: 92%"] Critique, Norm and Utopia. A Study of the Normative Foundations of Critical Theory (1986; German, Kritik, Norm und Utopie, Fischer Verlag, 1992)[/TD]
She has most recently edited, together with Judith Resnik, Migrations and Mobilities: Gender, Borders and Citizenship (NYU Press, 2009; named by Choice one of the outstanding academic books of the year), and also, Politics in Dark Times. Encounters with Hannah Arendt (Cambridge: Cambridge University Press, 2010).
Her work has been translated into German, Spanish, French, Italian, Turkish, Swedish, Russian, Serbo-Croatian, Hebrew, Japanese and Chinese and she has also edited and coedited 10 volumes on topics ranging from democracy and difference to feminism as critique; the communicative ethics controversy and identities, allegiances and affinities.
​
 


Elimu haina UZEE; America pamoja na kuwa na WASOMI kibao VYUO VYAO VIKUU HAVINA AGE LIMITATION kwa WAALIMU WAO... as long as unaweza kufungua huo MDOMO wanahitaji hiyo KNOWLEDGE yako... SISI tunataka UZIMIKE ukiwa KIJANA wa MIAKA 65 ati kutoa nafasi kwa VIJANA... wako wapi? wengi wao wako kwenye SIASA...

Badala ya kuwanyenyekea HAO WAZEE na kufanya HAYO MADARASA HUKO CHUO KIKUU yasiwe MAKUBWA na kujazana kama DALADALA tanawakomoa kuwanyima AJIRA na Pesa zipo; ni bora hizo pesa tuzitumia kuajiri WAPIGA PICHA 3 wa RAIS kwa MANUFAA ya SERIKALI; DINI; URAFIKI...

Kweli tutafika??? Yaani wewe ni kutaka VIJANA washike HIVYO VITENGO? nadhani Kama ni CHUO KIKUU DAR wana system ya kurotate na wanapokezana VIZURI kwahiyo sio kweli Wazee ndio wanashikilia HIVYO VITENGO; Mfano mzuri ni VICE CHANCELLOR... alikuwa kijana alipokuwa DEAN pale POLITICAL SCIENCE and PUBLIC ADMIN ilikuwa kama 20yrs ago...

NCHI NYINGI wanatreasure OLD GUARDS; SISI TUNATUPA... OH Hatujali ELIMU anyways... tunajali MIKOPO!!!

I concur with you 100 percent. It is amazing to see a professor retiring! In fact, this justifies why of recent doctors and professors have been quitting the academic arena and join the political arena.
 
Huyu jamaa aliyea andika ni kilaza proper, anafurahia elimu ishuke kwa ujumla wake. A professor is just a professor! Nakwambia, akikosa hapa anapata next door, sidhani kama prof anaweza eti akalia? Not really!
 
Kaka ninaposema JF, sina maana hiyo. Hebu chungulia CV ya Benson Banna ambaye anakaribia kuukwaa uprofesa anytime soon na huyu mama wa department of political science, Yale University. Linganisha, halafu utakuja kutetea hao maprofesa wako wa hapo UD, political science.
Professor Benhabib has written extensively in her area of expertise.
She is the author of a number of books, including...
Situating the Self. Gender, Community and Postmodernism in Contemporary Ethics (1992; winner of the National Educational Association's best book of the year award
Together with Judith Butler, Drucilla Cornell and Nancy Fraser, Der Streit um Differenz 1993;
The Reluctant Modernism of Hannah Arendt (1996; reissued in 2002; Hannah Arendt und die Melancholische Denkerin der Moderne, Suhrkamp 2006)
in English, Feminism as Critique (1994)
German, Selbst im Kontext, Suhrkamp 1995
The Claims of Culture. Equality and Diversity in the Global Era, (2002)
The Rights of Others. Aliens, Citizens and Residents (2004), which won the Ralph Bunche award of the American Political Science Association (2005) and the North American Society for Social Philosophy award (2004); translated as Die Rechte der Anderen (Suhrkamp 2008)
Another Cosmopolitanism: Hospitality, Sovereignty and Democratic Iterations, with responses by Jeremy Waldron, Bonnie Honig and Will Kymlicka (Oxford University Press, 2006)
Dignity in Adversity. Human Rights in Troubled Times (UK and USA: Polity Press, 2011).
German, Kosmopolitismus und Demokratie (Campus 2008)

[TD="width: 92%"] Critique, Norm and Utopia. A Study of the Normative Foundations of Critical Theory (1986; German, Kritik, Norm und Utopie, Fischer Verlag, 1992)[/TD]
She has most recently edited, together with Judith Resnik, Migrations and Mobilities: Gender, Borders and Citizenship (NYU Press, 2009; named by Choice one of the outstanding academic books of the year), and also, Politics in Dark Times. Encounters with Hannah Arendt (Cambridge: Cambridge University Press, 2010).
Her work has been translated into German, Spanish, French, Italian, Turkish, Swedish, Russian, Serbo-Croatian, Hebrew, Japanese and Chinese and she has also edited and coedited 10 volumes on topics ranging from democracy and difference to feminism as critique; the communicative ethics controversy and identities, allegiances and affinities.
​
mkuu Mwanamalundi ungeweka na publication za huyo Bana uliyemtumia kama mfano ili niwe na uwigo mpana wa kuwalinganisha!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mwanamalundi ungeweka na publication za huyo Bana uliyemtumia kama mfano ili niwe na uwigo mpana wa kuwalinganisha!

Nikiweka hapo publications zake, waalahiii, kama una mwanao hapo mlimani utaenda kumuondoa leo hii hii. Utapata pressure na kisukari cha bure!!!Wee acha tuendelee na maisha tu hapa bongo. Uzuri wa mambo ni kwamba tunaishi ulimwengu wa tano; kwa hiyo yote ni maisha tu, hapa bongo. Hakuna utaratibu wa maisha, tunaishi kwa kudra za mnyaazi mungu sub-hana!! Na tunafahamu hilo.


 
Ndugu zangu Sooth na Za Maulid nadhani hakuna haja ya kubishana na mwanamalundi maana inaonekana hata kusoma hajasoma hivyo vitabu vya huyo aliweka vitabu vyake hapa angevisoma angetuambia vitabu hivyo ni scholarly publications yaani amefanya utafiti wa kina na kutoa vitabu hivyo maana hata mimi naweza kuandika kitabu lakini lazima mantiki ya ikitabu izingatiwe. Vipo vitabu vya hadithi za kufikirika, personal experience na vitabu vya utatuzi wa matatizo. Pia mwanamalunde anahisia za kisiasa maana anaowataja ni watu wawili Prof. Mukandala na Dr. Bana Dr. Bana anayemlinganisha na Prof sijui wa wapi amesoma na kupata PhD yake Manchester University na amekua vising Professor Yale University zaidi ya mara moja sasa sijui anataka kumaanisha nini, cha msingi alete CV na vitabu alivyoandika Dr. Bana ili tufanye ulinganishi kama alivyosema Za Maulid.

Pili atupe idadi ya Maprofesa pale UDSM kwa ujumla ndipo atuambie hao 60+ wameondoka ni kina nani angalao mfano wa majina matano tu, pili ni hivi majuzi nilijipenyeza kwenye mkutano wa UDASA na kuna mtu toka Utawala alijibu kuwa wengi wa maprofesa walioomba mkataba na si wengi kama inavyoelezwa hapa wamekubaliwa kuendelea.

Jamaa anasema maprof wa UDSM wanapewa tu nadhani kuna umuhimu wa kukitembelea chuo kwa afisa mawasiliano aombe muongozo wa kupandishwa madaraja ya walimu kisha alinganishe na miongozo ya vyuo vikubwa duniani ndipo arudi hapa kutuomba radhi kwa kudanganya kuwa Muknadala anaweza kushawishi idara linapoanzia file na ukaguzi wa machapisho na umahiri wa mwalimu, College/School/Institute, kisha SENATE na Mwisho Council ili mtu wake apate uprofesa au apandishwe daraja bila vigezo.

Mwisho tujadili mambo kiuledi na siyo kihisia wandugu. Ningekua huyo Mukandala ningewatukana humu kwa kuweka CV yangu kisha nikuite nikupe uprofesa kwa kujibu swali moja tu kuwa unazusha uongo dhidi ya nchi yako ili iweje?upate faida gani?
 
Huyu jamaa aliyea andika ni kilaza proper, anafurahia elimu ishuke kwa ujumla wake. A professor is just a professor! Nakwambia, akikosa hapa anapata next door, sidhani kama prof anaweza eti akalia? Not really!

Aisee!!!! Never knew professor is just a professor. Hilo nalo neno!!!

 
mkuu Mwanamalundi ungeweka na publication za huyo Bana uliyemtumia kama mfano ili niwe na uwigo mpana wa kuwalinganisha!

Kaka, publications zinazotambulika kimataifa zipo kwenye web. CV sio private thing any more for academicians. Waambie wakupe hizo CV kama wanazo. Utakachoambulia ni msusuru wa consultancy mpaka utachoka.

 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.


Kama hao ni vijana, basi mimi ni mtoto
 
Mkijua alicho ambiwa yule mwanga alie ingie kwenye lile shimo kule bagamoyo mtaokoka
habari za kwenye ghahawa na wahubiri wanaotaka popularity tu,waliojikatia tamaa ndio husema habari zakuwatisha wumini namna hiyo
 
kumbe nawe unangea pumba kiasi hiki
maprof wengi wamesoma nje na phd zao wamepewa nje
sasa iweje uwakandie kiasi hicho?
umesoma chuo gani? kuna watu wanapena uproffesor kama nje?
wapo wegi hata kupublish paper hawajui huko nje unakosema
Ukiona mtu amepata phd nje usimdharau kiasi hicho ndio maana chuo cha UDSM na vingine ni partners na vyuo vya nje na unaingia direct kwani wana imani na degree za undgergraduate au masters.
wako mapoffesor wengi kama wa COET na even doctors wanaenda sabatical nje kufundisha kwa vile wanajua kiwango cha elimu zao.
kweli Mwanamalundi ushazeeka
Ha ha ha ha ha!!! Haya kaka umeshinda!!! Nimesoma hapo mlimani, na nimebahatika kusoma vyuo vya nje!!! Nawashukuru ya UD kwa kuweza kunipa nafasi hiyo ya kuchungulia nje ya dunia hii ya tanzania. Trust me, hao unaoita maprofesa hapo UD, waliopanda kwa vigezo "vikali", wakitia mguu kwenye vyuo kama yale, princenton, stanford, California Berkely, oxford, etc etc, hawawezi kupewa hata rank ya assistant lecturer!!!
 
Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza kuwanyima Maprofesa wastaafu mikataba ya kuendelea na kazi. Mimi nimeona hata nchi zilizoendelea profesa akistaafu anapewa uhuru wa ama kuendelea na kazi au kupumzika. Labda uwe ni Dr tu unaweza ukanyimwa mkataba, lakini profesa anabembelezwa. Ni aibu kwa tanzania, nchi maskini ambayo vyuo vikuu vimejaza matutorial assistants halafu inawanyima mikataba maprofessor. Ni ujinga uliopindukia.

Sawa, wanapewa uhuru huo (na kufanya kazi kwa kujitolea), lakini wanaondolewa kwenye payroll. Kuna baadhi ya vyuo vingine huwa vinawalipa kiasi kidogo cha mshahara (e.g., 5-7% ya mshahara wa mwisho). Ila huwa wanapewa free parking in the best lot, office space for life, access to the library, etc. Kwa kifupi hakuna cha mikataba kama hii ya TZ ya kulipana 100% ya mishahara. They are too expensive .. ukizingatia maprofessa wa TZ ni sana sana ni wa kufundisha darasani/hawafanyi research inayojilipa (funded)!
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.
Huna shukurani dogo hata kama ni lawyer hawa ndio waliokutoa huko kwenye ujinga akawa kama ulivyo, na hakuna elemu rahisi lazima usotee walitimiza wajibu wao!!! Kuhusu ajira huo ni utaratibu tuu, tukija kukosa walimu kisa eti tunawanyima Maprof mikataba tunatengeneza taifa la wajinga, we kaa uangalie mwanawane!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom