Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale udsm wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! Hebu fikiria unamuona prof. Pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, jipange prof mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina dr. Mkumbo, dr. Shule, dr. Mbamba, dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi sana utumishi kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale udsm nilisoma law daah utafikiri jiwe miaka minne ya taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! Kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.
nina mashaka sana na taaluma yako. Unajua MWANASHERIA ni mtu wa aina gani? MWANASHERIA KABISA unadilki kuleta uzi kama huu!!! hapa umetukana taaluma waombe radhi aisee.
 
Watu mnamiattack mleta mada ili iweje watanzania tujifunze kuchangia mada sio kumuattack mleta mada hii inaonesha ni jinsi gani tunatawaliwa na hisia badala ya vitu vyenye logic..point ya msingi hawa maprofesa kama vipi wasipewe tu maana kazi yao ni kueleza porojo zao tu za ooh nilikua nakaa hall 1 first floor sijui girlfrnd nlikua nae ooh i have first class blah blah blah nyingi tu wawapumzishe tu..kuna mmoja yuko kitivo pale tangu chuo kinaanza mpaka leo daah..na ukicheki research hamna hata moja yenye impact kwa jamii..hawajagundua chochote kile hata microchip tu ua kwenye iphone wameshindwa huko coet ilibidi kuwe kama mbele lakini hamna kitu..computer science ndo kabisa yani..mara ooh im the only professor of land law in east africa..wtf..wastaafu tu maana wamefeli tu..over..!!
 
si ajabu kunyimwa mkataba kama huhitajiki nenda chuo kingine au ndio maprof wa kuchakachua, maana kwa ufahamu wangu prof hawezi kubabaishwa kama vyeti vyake vipo sahihi. inabidi wachunguzwe
 
moja kati ya siku niliyo umia moyo kuhusu elimu ya TZ wapi yaelekea ni leo coz naona jinsi gani siasa inavyoingizwa katika elimu, vyuo vingi wanafundishwa na degree holders or tutorial assistant xo napoona lulu kama hiyo inatupwa kiukweli naumia moyo mno. ni wakati ambao serekali iache siasa katika hili na kazi itendeke.
 
Mbona wengine wanastaafu muda ukifika? Kwani wao wana nini wasistaafu? Wapo wenye akili za kuwa maprofesa bhana. Hata jogoo mkubwa akichinjwa aliyekuwa mdogo hukua na kuanza kufanya kazi zote within one day.
 
Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza kuwanyima Maprofesa wastaafu mikataba ya kuendelea na kazi. Mimi nimeona hata nchi zilizoendelea profesa akistaafu anapewa uhuru wa ama kuendelea na kazi au kupumzika. Labda uwe ni Dr tu unaweza ukanyimwa mkataba, lakini profesa anabembelezwa. Ni aibu kwa tanzania, nchi maskini ambayo vyuo vikuu vimejaza matutorial assistants halafu inawanyima mikataba maprofessor. Ni ujinga uliopindukia.

Kumuandaa profesa mmoja hadi kufikia nafasi hiyo ya uprofesa inachukua miaka mingi sana na wengi wao wanaupata uprofessor wakiwa karibu na age ya kustaafu. Halafu wakiupata tu wanatakiwa kustaafu kabla hata hawajautumia vema huo uprofesa wao. Then unawanyima mikataba ya kuendelea na kazi. Huo ni wehu, hasa ukizingatia nchi yenyewe ni maskini. Haina hata uwezo wa kuajiri maprofesa wa nje, kwanini isitunze maprofessor wa ndani?

Lakini zaidi ya yote, ukiona mtu amefikia kuwa profesa ina maana alisacrifice miradi binafsi. Akatumia muda wake mwingi kwenye researches na kuandika na kuweza kufikia nafasi hiyo. Ndiyo maana idadi kubwa ya maprofesa ni maskini. Sasa unapomnyima mkataba huku kamshahara kenyewe ulikuwa unampa ka kubabaishia, halafu PPF inalipa kinjiwa. Hela ya pension inatoka kwa manati, mnategemea akafanye nini huyu profesa? Ni halali yao walie.

Na hii itakatisha tamaa watu wengi sana kufanya researches. Na kusababisha wengi waache kuhangaika na publications, badala yake wajikite kwenye miradi yao binafsi ili kuandaa maisha ya baada ya kustaafu. Utumishi wawe makini na mambo wanayoyafanya dhidi ya hawa watu wachache na mhimu zaidi kwa taifa. Kazi kuwabeba wanasiasa tu wanawaacha watu waliosota kama hawa.


mkuu hata sijamaliza kuisoma habari yako, Nimeona nikujibu straightforward, maprof wa

udsm usifananishe na wa nchi nyingie, hawa mungu anisamehe hawana tija, walitakiwa wawe mbele kusema na kupinga uchafu unaondelea ama kwa siri au wazi, serikali

ingewaheshimu na kuwaona muhim mf. Nafasi ya prof wa udsm naiweka na daktari bingwa mwa muhmbil, unakukumbuka mgomo? niliona kwamba mabingwa wale wana busara hawakugoma na waliwaunga mkono vijana bila kuweka mikasi chni waliendelea, niambie

wa mlimani ambao ndio wanataaluma wataalam walikuwa wapi siku zote hizo? wamfanya nini RABBISH, siungi mkono kuwanyima mikataba lkn itakiwa washtuliwe kwa uzezeta wao, elimu inakufa tanzania wao kazi yao ni ipi/ nafasi yao je?
 
Wanaogopa nini na wanang'ang'ania nini UDSM?
Si waende vyuo vingine vina wahitaji sana.!
 
Mkuu nimebahatika kufundishwa na dk bana. . huyu mtu anafaa sana kuwa. Human resource manager na sio kufundisha maana huwa anasomaga notes
mkuu Mwanamalundi ungeweka na publication za huyo Bana uliyemtumia kama mfano ili niwe na uwigo mpana wa kuwalinganisha!
 
Last edited by a moderator:
..it is such a pity, ukizingatia kwamba we have also experience a massive failure of secondary pupils!!
 
..it is such a pity, ukizingatia kwamba we have also experience a massive failure of secondary pupils!!

Retirement Age ya maprofesa katika vyuo vikuu vya umma huko Kenya ni miaka 70 [sabini]. Pili, Profesa anaweza kupata mkataba wa kuajiriwa mpaka afikiapo miaka 80 ili mradi tu afya yake inamruhusu. Hata baada ya miaka 80 maprofesa wanaweza kuajiriwa kwa mikataba mifupi ya miezi mitatu mitatu. Vyuo vikuu viko huru kuajiri bila ya kuomba idhini ya Utumishi [au idara nyingine yeyote ya serikali] wala kuangalia mtu ni wa chama gani cha siasa. Hii ndio sababu wenzetu wametuzidi mara nyingi sana katika sector ya elimu ya juu. Sisi hapa Tanzania tutabakia nyuma ikiwa kama tutaendelea na siasa kama hizi za visasi zilizoanzishwa na waziri mmoja aliyekuwa mfanyakaZI WA NGAZI ZA CHINI KATIKA CHUO KIKUU KIMOJA CHA UMMA.
 
Linganisha na huyu profesa. Mukandara (Current VC wa mlimani) alisoma hapa Berkeley
[h=3]Mark Bevir[/h] [h=2]Professor of Political Science and Director, Center for British Studies[/h] Groups: Political Theory & Philosophy, Public Policy & Organization, Methodology & Formal Theory
Mark Bevir is a Professor of Political Science and Director of the Center for British Studies at the University of California, Berkeley. He is also a Professor in the Graduate School of Governance, United Nations University (MERIT) and a Distinguished Research Professor in the College of Arts and Humanities, Swansea University. He was born and raised in London, and he received his doctorate from the University of Oxford.
Mark's research interests in political theory include ethics, political philosophy, and the history of political thought. His work on public policy focuses on organization theory, democratic theory, and governance. His methodological interests cover the philosophy of social science, the history of social science, and interpretive analysis.

[h=5]Specialization[/h] Political Theory, Public Policy, Methodology
[h=5]Education[/h] D.Phil., University of Oxford, B.A., University of Exeter
[h=5]Books[/h] AUTHORED BOOKS

  • Governance: A Very Short Introduction, Oxford, Oxford University Press, 2012.
  • The Making of British Socialism, Princeton University Press, 2011.
  • Democratic Governance, Princeton, Princeton University Press, 2010.
  • The State as Cultural Practice (with R.A.W. Rhodes), Oxford, Oxford University Press, 2010.
  • Key Concepts in Governance, London, Sage, 2009.
  • Governance Stories (with R.A.W. Rhodes), London, Routledge, 2006.
  • New Labour: A Critique, London, Routledge, 2005.
  • Interpreting British Governance (with R.A.W. Rhodes), London, Routledge, 2003.
  • The Logic of the History of Ideas, Cambridge, Cambridge University Press, 1999.
EDITED BOOKS

  • Modern Pluralism: Anglo-American Debates since 1880, Cambridge, Cambridge University Press, 2012.
  • The SAGE Handbook of Governance, London, Sage, 2011.
  • Encyclopedia of Political Theory, 3 vols., Thousand Oaks, CA, Sage, 2010.
  • Interpretive Political Science, 4 vols., London, Sage, 2010
  • Governance, Consumers and Citizens: Agency and Resistance in Contemporary Politics (with Frank Trentmann), Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2007.
  • Histories of Postmodernism (with Jill Hargis and Sara Rushing), New York, Routledge, 2007.
  • Modern Political Science: Anglo-American Exchanges since 1880 (with Robert Adcock and Shannon Stimson), Princeton, Princeton University Press, 2007.
  • Public Governance, 4 vols., London, Sage, 2007.
  • Encyclopedia of Governance, 2 vols., Thousand Oaks, CA, Sage, 2007.
  • Markets in Historical Contexts: Ideas and Politics in the Modern World (with Frank Trentmann), Cambridge, Cambridge University Press, 2004.
  • Critiques of Capital in Modern Britain and America: Transatlantic Exchanges 1800 to the Present Day (with Frank Trentmann), Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2002.
[h=5]Articles[/h]
  • Mark is the author of over 150 articles in scholarly journals and books. For links to his recent articles, go to academia.edu.
  • If those links do not work for you or if you are interested in Mark's older articles, try the California Digital Library, where, when copyright allows, he places pre-print versions of his articles. To see a list of the available articles, go to "advanced search" and enter "Mark Bevir" as author at: eScholarship Repository.
[h=5]Teaching[/h]
  • PS4: Introduction to Political Theory
  • PS112c/212c: History of Political Theory: Modern
  • PS114: Theories of Governance
  • PS210: Philosophy of Social Science
  • PS213: Methodological Topics in the History of Political Thought
  • PS215a: Approaches to Contemporary Political Theory
  • PS215b: Topics in Contemporary Political Theory
  • PS284: Strategies of Contemporary Governance
[h=5]Other Exchange of Ideas[/h]
  • Mark Kaswan, ed., Democracy, Social Science, and Governance, a special issue of International Journal of Organization Theory and Behavior 14/4 (2011), 473-596.
  • Robert Lamb, ed., Post-Analytic Hermeneutics: Themes from Mark Bevir’s Philosophy of History, a special issue of Intellectual History Review 21/1 (2011), 1-119.
  • J. W. Burrow, ed., Mark Bevir and the Logic of the History of Ideas, a special issue of History of European Ideas, 28/1 (2002), 1-117.
[h=5]Other[/h]
  • Editor, The Oxford History of Political Thought.
  • Coeditor, The Berkeley Series in British Studies.
  • Coeditor, Journal of the Philosophy of History.
 
Nahisi Mwanamalundi ni mmoja wa watu waliokuja na uprofessor kutoka marekani akauleta UDSM wakamdemote, sasa hasira zote anamalizia kwa kusingizia kuwa eti uprofessor wanapeana.

Kaka ninachozungumza ni hiki hapa chini. Linganisha na CV ya profesa Benson Bana. Wote ni maprofesa wa political science. Haya, kazi kwako sasa.
Thad Dunning
​
Associate Professor​
Department of Political Science​
Yale University​
[h=3]EDUCATION[/h] Ph.D. University of California, Berkeley, Political Science, 2006.
M.A. University of California, Berkeley, Economics, 2006.
M.A. University of California, Berkeley, Political Science, 2002.
M.A. Stanford University, Latin American Studies, 2000.
B.A. Brown University (with highest honors), 1996.
[h=3]ACADEMIC EMPLOYMENT[/h] Yale University (July 2006-present), Department of Political Science
Professor (with tenure, February 2013-present)
Associate Professor (with tenure, July 2010-February 2012)
Associate Professor (without tenure, July 2009-June 2010)
Assistant Professor (July 2006-June 2009)
Co-Director, Leitner Program in International and Comparative
Political Economy (July 2012-present)
Affiliated Faculty, Institution for Social and Policy Studies
Research Fellow, MacMillan Center for International and Area Studies
Director of Undergraduate Studies, International Studies (2007-2008)
[h=3]PUBLISHED AND FORTHCOMING RESEARCH[/h] [h=4]Books:[/h] Forthcoming. Brokers, Voters, and Clientelism: The Puzzle of Distributive Politics. Cambridge University Press (with Susan Stokes, Marcelo Nazareno, and Valeria Brusco).
2012. Natural Experiments in the Social Sciences: A Design-Based Approach. Cambridge University Press.
2008. Crude Democracy: Natural Resource Wealth and Political Regimes. Cambridge University Press.
Winner of the best book award from the Comparative Democratization Section of the American Political Science Association and the Gaddis Smith International Book Prize for the best first book on an international subject by a member of the Yale faculty. The dissertation on which the book is based won the Mancur Olson Prize from the Political Economy Section of the American Political Science Association, for the best dissertation in the field of political economy completed in the previous two years.
​
[h=4]Journal Articles:[/h] Forthcoming. Ethnic Quotas and Political Mobilization: Caste, Parties, and Distribution in Indian Village Councils. American Political Science Review 107 (1) (with Janhavi Nilekani).
2011. Fighting and Voting: Violent Conflict and Electoral Politics. Journal of Conflict Resolution, 55 (3): 327 – 339.
2010. Cross-Cutting Cleavages and Ethnic Voting: An Experimental Study of Cousinage in Mali. American Political Science Review 104 (1): 21-39 (with Lauren Harrison).
2010. Endogenous Oil Rents. Comparative Political Studies 43 (4).
2008. Model Specification in Instrumental-Variables Regression. Political Analysis 16 (3): 290-302.
2008. Improving Causal Inference: Strengths and Limitations of Natural Experiments. Political Research Quarterly 61 (2): 282-293.
2005. Resource Dependence, Economic Performance and Political Stability. The Journal of Conflict Resolution, 49 (4): 451-482.
2005. Classic Questions, New Contexts: Development in an Era of Bits and Bytes. Introduction to Taylor Boas and Thad Dunning, eds., special issue of Studies in Comparative International Development, 40 (2) (with Taylor Boas).
2005. Will the Digital Revolution Revolutionize Development? Drawing Together the Debate. Conclusion to Taylor Boas and Thad Dunning, eds., special issue of Studies in Comparative International Development, 40 (2) (with Taylor Boas and Jennifer Bussell).
2004. Conditioning the Effects of Aid: Cold War Politics, Donor Credibility, and Democracy in Africa. International Organization, 58 (2), Spring 2004.
2004. Oil and the Political Economy of Conflict in Colombia and Beyond: A linkages approach. Geopolitics, 9 (1) (with Leslie Wirpsa).
2004. Transplants to Hybrids: Exploring Institutional Pathways to Growth. Introduction to Thad Dunning and Grigore Pop-Eleches, eds., “Institutions for Economic Development: A Cross-Disciplinary Approach,” a special issue of Studies in Comparative International Development, 38 (4) (with Grigore Pop-Eleches).
[h=4]Chapters in Edited Volumes:[/h] 2012. Natural and Field Experiments in the Study of Latin American Politics. In Peter Kingstone and Deborah Yashar, eds., Routledge Handbook of Latin American Politics. Routledge (Taylor & Francis).
2011. Natural Experiments. In Bertrand Badie, Dirk Berg-Schlosser, Leonardo Morlino, eds., International Encyclopedia of Political Science. Sage.
2011. Instrumental Variables. In Bertrand Badie, Dirk Berg-Schlosser, Leonardo Morlino, eds., International Encyclopedia of Political Science. Sage.
2010. Design-Based Inference: Beyond the Pitfalls of Regression Analysis?In David Collier and Henry Brady, eds., Rethinking Social Inquiry: Diverse Tools, Shared Standards. Lanham, MD: Rowman & Littlefield, 2nd edition.
2009. Direct Action and Associational Participation: The Problem-Solving Repertoires of Individuals. 2009. In Ruth Berins Collier and Samuel P. Handlin, eds., Reorganizing Popular Politics: Participation and the New Interest Regime in Latin America Penn State University Press.
2007. Modeling Selection Effects. In William Outhwaite and Stephen P. Turner, eds., The SAGE Handbook of Social Science Methodology. London: Sage Publications (with David Freedman).
[h=4]Other Publications and Reviews:[/h] 2011. Does Blocking Reduce Attrition Bias? Newsletter of the Experimental Section of the American Political Science Association, May 2011.
2010. Review of James Habyarimana, Macartan Humphreys, Daniel N. Posner, and Jeremy M. Weinstein, Coethnicity: Diversity and the Dilemmas of Collective Action. Forthcoming, Political Science Quarterly.
2010. Review of Jared Diamond and James Robinson, eds., Natural Experiments of History. Forthcoming, Perspectives on Politics.
2009. Comment on Daniel Lederman and William Maloney, “In Search of the Missing Resource Curse.” 2009. Economia 9 (1).
2008. Natural and Field Experiments: The Role of Qualitative Methods. Qualitative Methods 6 (2) (Newsletter of the American Political Science Association’s Organized Section on Qualitative Methods).
2008. Review of John Gerring, Case Study Research: Principles and Practices, Cambridge University Press. 2008. In The Journal of Politics, 70 (1): 282-83.
2007. The Role of Iteration in Multi-Method Research. Qualitative Methods (Newsletter of the American Political Science Association’s Organized Section on Qualitative Methods), 5 (1).
2007. Report to a committee of the National Academy of Sciences on improving USAID program evaluation: Field memos from Peru. . The committee’s full report is available online here.
[h=4]Working and Resting Papers:[/h] 2010. The Salience of Ethnic Categories: Field and Natural Experimental Evidence from Indian Village Councils. Working paper, Department of Political Science, Yale University.
2010. Ethnic Quotas and Political Mobilization: Caste, Parties, and Distribution in Indian Village Councils. Working paper, Department of Political Science, Yale University (with Janhavi Nilekani).
2008. The Analysis of Experimental Data: Comparing Techniques. Working paper (with Susan Hyde). Presented at the annual meetings of the American Political Science Association, Boston, MA, August 29-September 1, 2008.
2004. Creating Social Facts: Alternative Approaches to Autonomous Action and Political Change. Paper presented at the annual meetings of the American Political Science Association, Chicago, Illinois, September 2-5, 2004.
[h=3]FELLOWSHIPS AND AWARDS[/h] Runner-Up, Award for Best Paper Published on African Politics in 2010, African Politics Conference Group of the APSA/MPSA/ISA/ASA (with Lauren Harrison)
Honorable Mention, Best Paper Award for paper presented at the previous APSA meetings, Comparative Democratization Section (with Susan Stokes) (2011)
Best Book Award (2009). Comparative Democratization Section of the American Political Science Association (for Crude Democracy).
Gaddis Smith International Book Prize (2009). Awarded by the MacMillan Center for the best first book on an international topic by a member of the Yale faculty (for Crude Democracy).
Mancur Olson Award (2008). Given by the Political Economy Section of APSA for the best dissertation in political economy, for a Ph.D. completed in the previous two years.
Peter Odegard Memorial Award (2005). Given annually to three graduate students in Political Science at UC Berkeley who are judged to display outstanding scholarly promise.
Allan Sharlin Memorial Fellowship, Institute of International Studies, UC Berkeley (2004-2005).
Reinhard Bendix Memorial Research Fellowship, Institute of International Studies, UC Berkeley (2004-2005)
John L. Simpson Memorial Research Fellowship, Institute of International Studies, UC Berkeley (2004-2005)
Political Science Training Fellowship in Formal Modeling, UC Berkeley (2002-2003)
Chancellor’s Research Grant, UC Berkeley (Summer 2003)
Political Science Departmental Fellowship, UC Berkeley (2001-02)
Foreign Language and Areas Studies (FLAS) fellowship to study Portuguese, Stanford University (1999-2000).
[h=3]TEACHING[/h] Yale University, Department of Political Science
Graduate teaching
Research & Writing (Fall 2012)
Causal Inference and Research Design (Spring 2012)
Comparative Politics I: Research Design (Fall 2011)
Quantitative Methods: Linear Regression Model and Extensions (Spring 2010, Spring 2012)
Formal Models of Comparative Politics (Fall 2009, Spring 2007, Spring 2012)
Researching Ethnic Politics (Spring 2007)
Undergraduate teaching
Cause and Effect: Research Methods in the Social Sciences (Fall 2012)
Democracy and Development (Fall 2008)
Senior Seminar in International Studies (Spring 2007-Fall 2008)
Researching Ethnic Politics (Spring 2007)
Ethnic Politics in Comparative Perspective (Fall 2006)
UC Berkeley, Department of Political Science
Undergraduate teaching
Method in Comparative Analysis (Spring 2004). Graduate Student Instructor for Professor David Collier. Received the “Outstanding Graduate Student Instructor Award,” given to approximately 10 percent of Graduate Student Instructors at Berkeley.
UC Berkeley, Department of Statistics,
Undergraduate teaching
Linear Modeling: Theory and Applications (Fall 2004). Graduate Student Instructor for Professor David Freedman. Nominated by Statistics Department for the “Outstanding Graduate Student Instructor Award.”
Statistical Inferences for the Social and Life Sciences (Fall 2003). Graduate Student Instructor for Professor David Freedman.
Additional teaching
American Political Science Association (APSA). Taught short courses on natural experiments and research design at the 2005, 2006, 2007, 2008, and 2009 annual meetings of APSA.
Institute on Qualitative and Multi-Method Research, Arizona State University and Maxwell School of Syracuse University. Faculty member; lectured on natural experiments, multi-method research, and other topics (January 2005, 2007, 2008, and June 2009).
USAID Democracy and Governance Officers Workshop. Taught workshop on impact evaluation methods to 75 Democracy and Governance officers at USAID (June 9-10, 2008, co-taught with Devra Moehler).
Brown Summer Institute on Development and Inequality (BIARI) Lectured on natural experiments and multi-method research (June 2009).
Hydrocarbon Executive Education Program, International Center on Energy and the Environment, IESA, Caracas, Venezuela. Lectured on the politics of natural resource wealth (August 2005).
[h=3]PROFESSIONAL SERVICE AND OTHER EXPERIENCE[/h] Journal Referee
American Economic Review, American Political Science Review, American Journal of Political Science, International Organization, The Journal of Conflict Resolution, Journal of Politics, Political Psychology, Political Research Quarterly, Quarterly Journal of Economics, Studies in Comparative International Development
Visiting Researcher
Institute for Quantitative Social Science (IQSS), Harvard University (Fall 2009).
Center for Energy and Environmental Studies, Instituto de Estudios Superiores de Administracion (IESA), Caracas, Venezuela. (April-August 2005).
Advisor/Consultant
USAID Outcome Lead Expert for Impact Evaluation, sharing knowledge about rigorous research tools with a leading implementer of governance and international development programs (May 2012-present)
Assisted a committee of the National Academy of Sciences with recommendations on improving USAID program evaluation; methodological consultant on a visit to Peru (June 2007).
Assisted in the selection of municipalities for USAID decentralization programming in Albania, with randomized assignment of treatment and control municipalities (2008).
Wrote chapter on impact evaluation for a USAID/ARD handbook on decentralization programming.
Assisted Morrison & Foerster and Terry Karl (Stanford) with preparation of testimony for two cases in which Salvadoran generals were found liable for human rights abuses (2000-2002).
Committee and Editorial Board Membership
Nominating Committee, Qualitative and Multi-Methods Section, APSA (2010).
Best Book Award Committee, Comparative Democratization Section, APSA (2010).
Alex George Prize Committee, Qualitative and Multi-Methods Section, APSA (2008).
Editorial Board, Comparative Political Economy eJournal, Political Science Network (PSN) of the Social Science Research Network (SSRN)
Other Memberships
Experiments in Governance and Politics (EGAP) network.
Editorial Assistant
Studies in Comparative International Development (SCID), UC Berkeley (2002-2005).
Coordinator
Positive Political Theory Seminar, Institute for Government Studies, UC Berkeley (2002-03).
[h=3]ADDITIONAL EDUCATION[/h] Empirical Implications of Theoretical Models (EITM), University of California, Berkeley (June-July 2005). An NSF-funded project designed to promote the integration of theoretical models and empirical research in political science.
Institute on Qualitative Research Methods (IQRM), Arizona State University (January 2004). A project of the Consortium on Qualitative Research Methods designed to improve qualitative research in political science.
Inter-university Consortium for Political and Social Research (ICPSR)
University of Michigan (Summer 2002). Summer program on statistical methods.
[h=3]LANGUAGES[/h] Fluent, research-level French, Spanish, and Portuguese. Some Mandarin Chinese.
[h=3]PRESENTATIONS[/h] University of California, Berkeley, Political Science Department, May 2, 2012
University of British Columbia, Experiments in Development Workshop, March 19, 2012
Columbia University, Political Economy Seminar, December 5, 2011
Harvard University, Ruling Politics Conference, November 21, 2011
Merton College, Univ. of Oxford, Redistributive Pref. Workshop, April 15, 2011
University College, Univ. of Oxford, Pol. Economy Seminar, January 20, 2011
London School of Economics, Pol. Economy Seminar, January 18, 2011
University of Essex, Political Economy Seminary, January 17, 2011
Indian Institute of Management-Bangalore/U. of Pittsburgh, January 5, 2011
UT Austin, Comparative Politics Workshop, October 27, 2010
Columbia, CSDS Development Seminar, October 22, 2010
UT Austin, LBJ School, Ph.D. Colloquium, October 14, 2010
Latin American Studies Association, Toronto, Canada, October 8, 2010
University of Michigan, Comparative Politics Workshop, October 1, 2010
American Political Science Association, Washington D.C., Sept. 4, 2010
UCSD, African Politics Seminar, May 18, 2010
UCLA, Comparative Politics Workshop, May 17, 2010
New York University, CAPERS African Political Economy conference, May 13, 2010
Dartmouth, Comparative Democracy Series, April 29, 2010
Georgetown University, Comparative Politics Workshop, April 9, 2010
Harvard-MIT-Brown Seminar on South Asian Politics, April 8, 2010
Princeton, Department of Politics, March 24, 2010
Princeton, Center for the Study of Democratic Politics, Dec. 3, 2009
Kellogg Institute, University of Notre Dame, October 1, 2009
University of British Colombia, Political Science, Sept. 28, 2009
American Political Science Association, Toronto, Canada, August 28-31, 2009
Sociedad Argentina de Analisis Politico, Santa Fe, Argentina, August 20, 2009
Yale, Political Methodology Society meetings, July 23-25, 2009
Yale, “Fighting and Voting” conference, May 14-15, 2009 (organizer)
Yale, Experiments in Governance and Politics (EGAP) meetings, April 23-24
Princeton, Faculty Colloquium in Comparative Politics, April 30, 2009
Washington University in St. Louis, Political Economy Workshop, Dec. 5, 2008
Stanford, Comparative Politics Workshop, November 10, 2008
MIT, October 31, 2008
American Political Science Association meetings, August 2008
Yale University, Economía meetings (discussant), May 3, 2008
Duke, Methodological Advances in Comparative Politics, April 11-12, 2008
Columbia, Comparative Politics Workshop, April 9, 2008
Yale, Conference on Venezuela, November 30, 2007
The University of Chicago, Comparative Politics Workshop, November 1, 2007
University of Rochester, Wallis Institute of Political Economy, October 25, 2007
Latin American Studies Association meetings, September 2007
American Political Science Association meetings, August-September 2007
Stanford, Center on Democracy, Development and the Rule of Law, May 11, 2007
Stanford, Comparative Politics Workshop, May 7, 2007
Yale, Council on Latin American Studies, April 26, 2007
Harvard, Rockefeller Center for Latin American Studies, April 10, 2007
Brown, Colloquium on Comparative Research, March 7, 2007
Yale, Comparative Politics Workshop, February 27, 2007
American Political Science Association meetings, August 2006
American Political Science Association meetings, September 2005
Instituto de Estudios Superiores de Administracion, Caracas, Venezuela, June 2005
American Political Science Association meetings, September 2004
Conference on Natural Resources and War, McGill University, September 2003.
Conference settlement of civil conflicts, Santa Fe Institute, Bogota, Colombia, May 2003
UC Davis, Hemispheric Institute on the Americas, October 2001
International Political Science Association meetings, Durban, South Africa, June 2003
International Studies Association meetings, New Orleans, Louisiana, April 2002
Latin American Studies Association meetings, Washington, D.C., September, 2001
American Political Science Association annual meetings, Chicago, Illinois, September 2-5, 2004.
 
Soko ni huria siku hizi hata hapa Tz, UDSM wakiwatema vyuo vikuu vingine vinaweza kuwachukua!!! Mradi CV na experience iewepo. Walipomtema Prof. Baregu, si alichukuliwa na chuo kikuu kingine?
 
moja kati ya siku niliyo umia moyo kuhusu elimu ya TZ wapi yaelekea ni leo coz naona jinsi gani siasa inavyoingizwa katika elimu, vyuo vingi wanafundishwa na degree holders or tutorial assistant xo napoona lulu kama hiyo inatupwa kiukweli naumia moyo mno. ni wakati ambao serekali iache siasa katika hili na kazi itendeke.

Unaweza kuthibitisha hoja yako kwa mifano HALISI??
 
Ndugu zangu, Kwanza nianze kwa kusema, "Tuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa ajira za vyuo vikuu vyetu hapa nchini. Mimi kama mdau wa elimu naangalia haya matatizo kwa sehemu zifuatazo
Mosi, Kwa upande wa UDSM & SUA (to be specific...) Hivi vyuo havikutoa ajira kwa wakufunzi kwa kipindi kirefu sana na hii ndio imetuletea haya matatizo ya kuendelea kuwategemea maprofesa wastaafu. Vyuo hivi vimeanza kuajiri vijana kwa kasi baada ya 2005. Sasa kinachotokea ni kuwa na walimu wengi sana vijana ambao wameingia kwenye ajira na bado wanahitaji msaada mkubwa kutoka kwa senior lectures na professors. At the same time wengi wa hawa maproffesor wamefikia umri wa kustaafu kwa lazima. Kwa mtazamo wangu naona kuwaondoa hawa maprofessa kwa kipindi hiki kutaleta tatizo kubwa sana katika mfumo wa elimu ya juu. Kwa sababu zifuatazo;


  • Wanauzoefu mkubwa sana kwenye ufundishaji ukilinganisha na walimu vijana wanoingia. kwenye level ya juu ya elimu hatuwezi puuza uzoefu wa hawa watu hata kama mchango wao hauonekani direct kwenye jamii zetu.
  • Pili, idadi ya professors na senior lectures ina mchango mkubwa katika kuvipa hadhi vyuo vyetu. Leo hii UDSM na SUA vinaheshimika duniani ni kwa sababu ya hawa maprofessa. Kwa tulio kwenye sector hii tunaelewa fika kwamba, ukiandika research paper kuomba funds nje ya nchi leo, lazima utafute professa wa kukutetea au patnership.Kwahiyo vyuo vingi vinapata research funds kwa ajili ya hawa maprofessa hata kama hawaandiki wao tena
  • Tatu, hakuna ubishi kwamba maprofessa wetu wengi bado wako vizuri na wana nguvu ya kuendelea kufundisha. Kumstaafisha kwa sasa kwa nchi yenye uhitaji mkubwa ya hawa watu ni aibu kwa taifa. Ukiangalia UDOM na Mzumbe wameajiri maprofessa kutoka India na China ambao wote ukiangalia wako above 70. Je tukubali kustaafisha wmaprofessa wetu then tuajiri kutoka India na China?
  • Nne, kuna watu wanasema maprofessa wetu hawana uwezo, na wengi wamepewa uprofessa na hawakustahili. Binafsi hili siliamini hata kidogo. Tuangalie autobiagraph za hawa maprofessa na tuje na facts kujistify comments zetu. Hakuna short cut ya kufika kwenye uprofessa ndugu zangu, kwa walio vyuoni wanaelewa hili vizuri. Unapotetea paper yako hata hao wazungu wanakuwepo kwenye panel, hakuna longolongo
  • Tano na mwisho.. Hawa maprofessa wastaafu ndio wenye spirit ya kufundisha kuliko walimu vijana, Na hii inatokana na nidhamu waliyokua nayo toka enzi za mwalimu. Huwezi kuta prof anakosa kipind with no reason. Walimu wetu wengi (vijana) wamefocus zaidi kwenye research ambazo zinatufanya muda mwingi kuwa nje ya vituo vya kazi na hii inathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wetu wa elimu. Wanafunzi wa chuo wanafundishwa kishkaji sana. Na wanafunzi wakijua mwalimu fulani huwa hakamati ndio hawajishughulishi kabisa,

Ndugu zangu, tuangalie hili swala kwa umakini sana na ikibidi kushauri wanao husika. Sasa hivi tumefikia Assistant lecture anafundisha Masters course yote kama leading instructor. Nidhamu kwenye elimu ni kitu cha msingi sana. Kumwambia tutorial assistant afundishe masters ni utovu wa nidhamu kwa misingi ya elimu
 
Mwanamalundi
Niambieni hapo UD, kuna professa gani mwenye CV kama hii?

Mkuu, mbona wote wazungu? Unadhani wangefundisha universities kama UDSM, MOHAS nk wangepata CVs hizo ulizotaja? Thubutu zao. Kwa mfano wangefanyia kazi MOHAS nani angewaona ikiwa wakubwa wakipata mafua tu wanakimbilia India ambako kuna matibabu mazuri? Utafiti wangefanya kwa fedha ipi kama baadhi ya bajeti ya Wizara lazima itumike kuwasafirisha wakubwa kwenda kutibiwa nje ya nchi?
 
Maprofessa duniani ni hazina ingawa maprofesa wetu haswa wa UDSM wamekalia ulevi na ngono unakuta prof baada ya kuwa promoted kufikia level ya Full Professor kazi basi tena haji na kitu kipya kazi yake ni kucheza na notes zile zile za miaka 1970s. mbaya zaid siku wanapigwa chini hubaki kulalamika tu. JIPANGENI mapema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom