sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,134
- 4,252
Lugha,lugha,mkuu mtu anaeweza akazungumza kwa lugha yake mwenyewe ana uwezo wa kuifanyia hata manjonjo.Kama Magufuli anahutubiwa watanzania kiswahili kuna tatizo gani?Mbona Norgeian,Japanese,Chinese, Arabs,wanafanya Phd kwa lugha zao,kwani kufanya kwa lugha zao kunapunguza ujuzi au maarifa yao?Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?