Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

Ni wapi wananunua sahvi? sahv mbaazi bdo haijaiva maeneo mengi.ni wapi wananunua au wanauzia shambani? mwaka jana kilo kwa hapa nilipo ilikuwa 2400 hadi 2500.
 
Na

tumanini unafahamu utaratibu wa kununua Mbaazi?
Sasa Je, kwa utaratibu ambao unafahamika, ni wapi mwaka jana Mbaazi zilinunuliwa kwa Tzs 4000 kwa kilo Moja? (Ukitaja hata Wilaya tu, nitashukuru).
Na, je ni wapi sasa hivi Mbaazi inanunuliwa kwa Tzs 800 kwa kilo moja? (Na hapa ukitaja bei ya mnada wa mwisho kufanyika au wilaya ambayo mbaazi imeuzwa 800 pia nitashukuru.

Naomba kuwasilisha na karibu kwa majibu
Itilima, Bariadi, Maswa na Meatu. Fika ujionee mwenyewe au ulizia wakulima. Usitake tutaje na sababu maana tunajua mnavyowahujuumu wakulima
 
Bashe Akamatwe Haraka Kawadanganya Wananchi Sana
 
hivi wewe unajua hata maana ya serikali na rais wa nchi? au umejaza viazi huko kichani na si ubongo? stupid[emoji34]
Duh!

Ungenieleza kwa lugha ya ustaa, ungebomoka? Ila asante
 
Hivi bei ya mazao anaamua rais au soko? Wale ambao walimsifu rais mwaka jana na wanao mlilia mwaka huu wote hakuna wanacho jua kuhusu biashara.
Nchi hii kila kitu ni cha Rais, kwani hujui? Pesani ya Rais, miradi yote ni ya Raia. Kwa hiyo bei ikipanda, ni Rais ameamua kuwafurahisha wakulima, ikishuka ni Rais, labda kaamua kuwafurahisha walaji. Ambacho hatujaambiwa ni cha Rais, labda hewa tunayoivuta. Nchi ya machawa.

Kama una mashaka kuwa siyo Rais Samia ndiye anasababisha bei za mazao kupanda ai kudorora, waulize machawa kipeo cha pili, Mwashambwa na Tlaatlah.
 
Soko ndiyo linaamua
Wakati wa magu mbaazi ilishuka
Pia....

Ova
 
Sometimes mpaka naanza kuogopa kulima haya mazao ya kupeleka ghalani
 
na kama alizipokea sifa -- inabidi apzipokee na lawama , mzani ubalance
Yani Samia yeye sifa nzuri zote hupewa yeye hata ambazo sio zake ila lawama zote kwenye serikali yake sio zake hupewa wasaidizi na washauri wake.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Acha uchawa na uhuni wewe. Serikali ipo ili ifanye nini? Nani huwa anatoa bei elekezi,? Nani anachukua kodi kwenye mauzo ya mazao. Siamini kiwa wao wahauisiki na upangaji bei hata kdg
Bei ya mazao haina uhusiano na uchaguzi,,,ni hali ya hewa na masoko.
a
 
mbaazi walipiga 4000 mwaka jana? --- hii 800 mnada wa mkoa gani?

huu mwaka bei za mazao ni simanzi tupu
Around 1700 mwaka jana na mnada wa simyu juzi ilikua 1200-1290. Soko la Dunia 0.7 usd kwa Kilo.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Yani Samia yeye sifa nzuri zote hupewa yeye hata ambazo sio zake ila lawama zote kwenye serikali yake sio zake hupewa wasaidizi na washauri wake.
Anaweza akapewa sifa nzuri ama mbaya. Cha muhimu mkulima asidhulumiwe. Mfano

Mkulima kauza Mbaazi 4000 soko la Dunia ni 8000 hapa akili kisoda anaweza akaona 4000 nyingi akasifia kumbe mkulima kadhulumiwa amepata tu 50%

Mkulima kauza 800 soko la Dunia ni 1000 hapa akili kisoda anaweza akapinga akaona kadhulumiwa kumbe kapata 80% ambayo ni nzuri.
 
Back
Top Bottom