Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

Anaweza akapewa sifa nzuri ama mbaya. Cha muhimu mkulima asidhulumiwe. Mfano

Mkulima kauza Mbaazi 4000 soko la Dunia ni 8000 hapa akili kisoda anaweza akaona 4000 nyingi akasifia kumbe mkulima kadhulumiwa amepata tu 50%

Mkulima kauza 800 soko la Dunia ni 1000 hapa akili kisoda anaweza akapinga akaona kadhulumiwa kumbe kapata 80% ambayo ni nzuri.
Umeiweka vyema sana
 
Yani Samia yeye sifa nzuri zote hupewa yeye hata ambazo sio zake ila lawama zote kwenye serikali yake sio zake hupewa wasaidizi na washauri wake.
Mwigulu nchemba kwenye bajeti ya wizara yake alisema --- mambo yote mazuri waliyofanys ni kwa maelekezo ya muheshimiwa rais, na mabaya yote ni mapungufu yao rais hausiki

😁
 
Mwigulu nchemba kwenye bajeti ya wizara yake alisema --- mambo yote mazuri waliyofanys ni kwa maelekezo ya muheshimiwa rais, na mabaya yote ni mapungufu yao rais hausiki

😁
Hiyo ndio maana halisi ya umungu-mtu, bila kusahau na mwenyewe Samia wakati akiwa bado makamo wa rais aliwahi kusema kuwa Rais huwa hakosei.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Tunduru nasikia , Mnada wa mbaazi umefanyika na Bei ni 900....alie na uhakika unijuze tafadhali
 
Screenshot_20250818_115547_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom