Ludovic cickovic
Member
- Feb 21, 2020
- 30
- 15
Du safi sana,siku hizi mzee Vasco dagama a.k.a baba Ritz akienda kula bata London hata balozi wa Tz anakua ajui kama dagama yupo london
Sent using Jamii Forums mobile app
Du safi sana,siku hizi mzee Vasco dagama a.k.a baba Ritz akienda kula bata London hata balozi wa Tz anakua ajui kama dagama yupo london
Hapo kwenye demokrasi Nyerere anadanganya huku anajua kabisa anasanganya.Julius Nyerere: Democracy, Zanzibar, and African Unity.
Anzia dakika ya 4 kumsikia Nyerere.
Hapo kwenye demokrasi Nyerere anadanganya huku anajua kabisa anasanganya.
Kashamsima John Stuart Mill, kashakaa ma Fabian Society debate ya Edinburgh kitambo sana, kwa hiyo si mtu ambaye hakujua kwamba kunyima uhuru wa vyama vingi ni kuminya demokrasia.
Hata majibu yake kwenye hiki hayako convincing. Uzuri style ya mahojiano si kama ya "Hard Talk".
Hapa alikuwa anahojiwa, akichemsha anaachiwa muandishi anawnda kwenye swali lingine.
Nyerere angewaachia tu kina Zuberi Mtemvu na Congress yao waendelee, angewatandika kwenye chaguzi kwa kura kihalali na kuonesha watu wanapenda TANU
Hii nafikiri ni moja ya sababu Kambona aligombana na Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du safi sana,siku hizi mzee Vasco dagama a.k.a baba Ritz akienda kula bata London hata balozi wa Tz anakua ajui kama dagama yupo london
Julius Nyerere: Democracy, Zanzibar, and African Unity.
shuttle Paris
Anzia dakika ya 4 kumsikia Nyerere.
Documentary zote nimeangalia ila sijawahi kukutana na hiyo kadhia sijui waliitoa wapi.....Watu kwa fix ni balaa, eti Malkia alivyokuwa anamsalimia Mwalimu akiwa amevaa groves Mwalimu akampa kifimbo... ndipo Malkia akavua Groves then Mwalimu akakubali kumpa mkono.