Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,917
- 6,007
Sawa.Nyerere alikuwa na influence kubwa Africa
so Western Nations walitambua kuwa ukitaka ku deal na Africa..deal na Nyerere
ndo maana hayo mapokezi alipewa Nyerere na later Mandela only
Hata first time Nyerere anaenda USA wakati wa Kennedy .mapokezi yalikuwa makubwa
Nyerere alipoanza kuwafuata Wachina na ku copy siasa za wachina ndo kidogo Westen Nations wakajaribu
kumpotezea ingawa walikuwa wanajua ana influence kubwa Africa..