Tuna kazi ya kufundisha
Mzee unahangaika kweli kweli na mipasho isiyoisha, kwani marehem yuko kwenye kampeni??? Ishakuwa ntoleee tena hyo.Hauamini au
Tena wamemuweke magufuli dayMagufuli ni Rais.
Hiyo title atakuwa nayo milele.
Kwakweli haijawahi kutokea, leo Watz kuna watu tumewafundisha kitu, hata wakijifanya wagumu kuelewa ila wameelewa.Hii ni zaidi ya nyerere
Ova
sasa hao wano sema oyooooooo kwenye huo msafara ni akina nani? Mimi niko live na tbc hapa naona kila kituToka lini muombolezaji na Mshangiliaji wakakaa pamoja?
Huyo ni raisi amakufa kama raisi najua hupendi but huna namnaRekebisha Title, Magufuli sio Rais
vip kuhusu mapokezi ya lisu dar hakuna aliye vunja hiyo historiaKwakweli haijawahi kutokea, leo Watz kuna watu tumewafundisha kitu, hata wakijifanya wagumu kuelewa ila wameelewa.
Yah kifo ni sherehe, ulitaka watu wote walie? Alafu mbn huzingumzii wale waliokuwa wanamuita Yesu?sasa hao wano sema oyooooooo kwenye huo msafara ni akina nani? Mimi niko live na tbc hapa naona kila kitu
Vp Lissu vs Magufuli?vip kuhusu mapokezi ya lisu dar hakuna aliye vunja hiyo historia
kila mtu anajambo lake hapoYah kifo ni sherehe, ulitaka watu wote walie? Alafu mbn huzingumzii wale waliokuwa wanamuita Yesu?
Sometimes learn to accept truth.kila mtu anajambo lake hapo