Wakati huu tutaongea lugha zote hata tusizo zijua.Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Wakati huu tutaongea lugha zote hata tusizo zijua.Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
kwami uongo mumeunganisha picha hii ya LOWASAWale akinadada wapumbavu YEHODAYA, Joanabaptist na dada Wakudadavuwa watasema picha za wakati wa Lowassa hizo!
Wacha maigizo wewe, hiyo video mmechukua watu wanaoonekana karibu na Silinde, nyuma mmeogopa kupaonesha coz mnajua mtaumbuka, muda mwingi mchukue video anamuonesha Silinde tu kukwepa aibu.Silinde umemuona alivyojaza Tunduma kama hujaona nakupa tena huyo hapo hakuna wasanii hapo na Magufuli hajakanyaga hapo Tunduma na wasanii
Umeiona nyomi ya Kagera lakini?
Mkuu honestly speaking Wasanii wanachangia 1/3 watu wote wanaoshiriki mikutano ya Magu. Fuatilia vizuri uone watoto walivyo wengiUmeiona nyomi ya Kagera lakini?
Mimi na familia yangu tutamchagua LissuMaskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Wewe mwenyewe ni mvuta bhangi tuHawa ni wapiga kura wenye kadi nyie endeleeni kujidanganya na hao chokoraa wavuta bhangi na majizi ambao hawana muda wa kujiandikisha na akijiandikisha kadi hatunzi na akitunza haitatumika kwa uchakavu tena huko boda ndio balaa wengi hawana kadi ila muendelee kuwazarau wazee...
Ccm imesha kataliwa tayari na watanzania wacheni kujifanya hamnazoMh JPM akipiga kambi hapo Tunduma mtashangaa umati mkubwa wa ajabu.. Subirini, sisemi Lissu hajapata watu leo, ila wa kwetu CCM utapita huo
Hiyo ndiyo kiboko ya kisonono waliojazana kule mtaa jiraniHii itakuw ani cristapen
Watapiga pesa zake alafu wasepe zao kama walivyo piga za Mbatia walivyo mdanganya kuwa wanahamia chama chake NCCR kesho yake wanarudi cdmWa tunduma atakusanya hadi wakazi wa msumbiji ili kujibu mapigo ya Lissu. Mzee hashindwi kuwekeza pesa nyingi mradi tu TAL asimzidi kete
Hali mbaya mnayo chadema. Jpm hazuiliki kwa masimango ya Lissu.Ni vizuri CCM mkajifariji maana mna hali mbayaaa saaana!!! Huku Jpm kazomewa kagera huku Lissu kaufunga mkoa wa Songwe leo!!!! Dadeki
Mnategemea nyomi la wasio na kadi kazi mnayo,walishazitupa kitambo.Wewe mwenyewe ni mvuta bhangi tu
Ndivyo mlivyopanga na hiyo tume yenu.Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Wafuasi wa Lissu leteni hata picha tu ya kuzomewa mbona maneno matupu?Leo bukoba ilikuwaje??? Mmeshawaachia wahaya wa watu waliowakataa??? Au mtawafungulia makosa ya uhujumu uchumi muwatese kama Kabendera na mama yake???
Endelea kujidanganya hii ni cdm yenye mipango siyo ile ya Slaa mliyekuwa mnamnunua kusudi aboronge makusudiMnategemea nyomi la wasio na kadi kazi mnayo,walishazitupa kitambo.