Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,675
- 22,265
Mpaka wameleta giza! Balaa.
Mpaka wameleta giza! Balaa.
Anagalia mkutano wa Silinde kisha ulinganishe na huo wa Lisu kisha uje tujadili.Acha story za kubalehe katika mambo serious. Hao wapiga kura wa CCM unaowaongelea ni hao wanazururishwa kwenye maroli? Unajiona wewe ndiyo bonge la mgunduzi kwamba hao siyo wapiga kura?
Labda Muibe kama mnavyojipanga na Policcm, tumeccmWatu mnajidanganya Sana, mpaka sasa hakuna chama cha kuishinda CCM hii ya Magufuli. Mnajifariji bure, Lissu hata kura alizowahi pata lowasa hatapata. CCM babalao. JPM tangu aanze kampeni ni mwendo wa nyomi mwanzo mwisho.
Watu mnajidanganya Sana, mpaka sasa hakuna chama cha kuishinda CCM hii ya Magufuli. Mnajifariji bure, Lissu hata kura alizowahi pata lowasa hatapata. CCM babalao. JPM tangu aanze kampeni ni mwendo wa nyomi mwanzo mwisho.
Chadema hadi wasanii wamewakataa.Hao wanaokuja kuwaona akina Chege!!?
Subirini mtakufa kihoro..
Vip Tunduma mgombea ubunge wa chadema alipitishwa na Tume au?Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
October 28,watakula jeuri yao. Wao wanadhani kila anayekwenda kwenye kampeni zao ni mwanachama wao.Hana kura za kuiba sasa aibiwe kitu gani?
chadema mna hali ngumu ukata makali sana Mbowe kasepa na mpunga mrefu, hela ya kufanya kampeni tu unapitisha bakuli sio kwamba hampendi kukusanya watu njaa kali comrade.Nimsema mafuso, wewe eweka fuso tuView attachment 1571560View attachment 1571561View attachment 1571562View attachment 1571563View attachment 1571564
Aisee!!!
Silinde umemuona alivyojaza Tunduma kama hujaona nakupa tena huyo hapo hakuna wasanii hapo na Magufuli hajakanyaga hapo Tunduma na wasanii..Jpm analetewa nyomi na wanamuziki, ila yeye mwenyewe hana hoja.
..hana cha kuwaambia wananchi wanaofurika ktk mikutano yake.
Wanafunzi wamelazimishwa kuacha masomo na kwenda barabarani huu ni uvunjifu mkubwa wa haki za wanafunzi huko Kagera na walaaniwe wote walioamuru jambo hili.Umeiona nyomi ya Kagera lakini?
Watu wa Tunduma mnafurahisha saaaaaana nyie asanteni sana! Hii ndio akili.
Kwahiyo hao wanao wachanganya mpaka pressure zinawapanda wanasafirishwa na mafuso?chadema mna hali ngumu ukata makali sana Mbowe kasepa na mpunga mrefu, hela ya kufanya kampeni tu unapitisha bakuli sio kwamba hampendi kukusanya watu njaa kali comrade.
Silinde umemuona alivyojaza Tunduma kama hujaona nakupa tena huyo hapo hakuna wasanii hapo na Magufuli hajakanyaga hapo Tunduma na wasanii
Asante teknolojia yaami tunashiriki mijutano mahali popote ilipo sio ile ya kusubiria kwenye tv usiku. Tundu Lissu a mysterious Leader everMji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita.
ufedhuli , kwenda kwa mazoe,na kufanya utafiti za kujifurahisha zisizo reflect hali halisi ili kufurahishana kume waponza.waliwachukulia wananchi poa tuOnly NEC ndio wanaweza kuwaokoa CCM hapo 28 octoba. Njia nii nyeupe kwa Lissu na Chadema.
Ni Yeye2020