Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Acha story za kubalehe katika mambo serious. Hao wapiga kura wa CCM unaowaongelea ni hao wanazururishwa kwenye maroli? Unajiona wewe ndiyo bonge la mgunduzi kwamba hao siyo wapiga kura?
Anagalia mkutano wa Silinde kisha ulinganishe na huo wa Lisu kisha uje tujadili.
 
Watu mnajidanganya Sana, mpaka sasa hakuna chama cha kuishinda CCM hii ya Magufuli. Mnajifariji bure, Lissu hata kura alizowahi pata lowasa hatapata. CCM babalao. JPM tangu aanze kampeni ni mwendo wa nyomi mwanzo mwisho.
Labda Muibe kama mnavyojipanga na Policcm, tumeccm
 
Watu mnajidanganya Sana, mpaka sasa hakuna chama cha kuishinda CCM hii ya Magufuli. Mnajifariji bure, Lissu hata kura alizowahi pata lowasa hatapata. CCM babalao. JPM tangu aanze kampeni ni mwendo wa nyomi mwanzo mwisho.

..Jpm analetewa nyomi na wanamuziki, ila yeye mwenyewe hana hoja.

..hana cha kuwaambia wananchi wanaofurika ktk mikutano yake.
 
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo

Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
Vip Tunduma mgombea ubunge wa chadema alipitishwa na Tume au?
 
..Jpm analetewa nyomi na wanamuziki, ila yeye mwenyewe hana hoja.

..hana cha kuwaambia wananchi wanaofurika ktk mikutano yake.
Silinde umemuona alivyojaza Tunduma kama hujaona nakupa tena huyo hapo hakuna wasanii hapo na Magufuli hajakanyaga hapo Tunduma na wasanii

Tunduma wanasifa kwa Chadema, hawa hata wakisema Tundu Lisu anashinda saa nne asubuhi unaamini maana naona hawataki mchezo.
 
chadema mna hali ngumu ukata makali sana Mbowe kasepa na mpunga mrefu, hela ya kufanya kampeni tu unapitisha bakuli sio kwamba hampendi kukusanya watu njaa kali comrade.
Kwahiyo hao wanao wachanganya mpaka pressure zinawapanda wanasafirishwa na mafuso?

Ukiona wana cdm wamejaa sehemu jua wamekuja kwa hiari yao either kwa miguu au kwa baiskeli au kwa magari yao au kwa pikipiki.

Nyie hamfanyi mikutano mpaka muwatumie mafuso na maguta kuwakusanya watu kama mihogo.

Wasanii zaidi ya 200 kuwaimbia wananchi ili wavutike kuja kutazama kina ma free masons
 
Silinde umemuona alivyojaza Tunduma kama hujaona nakupa tena huyo hapo hakuna wasanii hapo na Magufuli hajakanyaga hapo Tunduma na wasanii

..mimi sijasema mikutano ya Jiwe haina nyomi.

..nimesema Jiwe hana hoja za kuwashawishi wanaohudhuria mikutano yake.

..mara nyingi Jiwe hutumia lugha za matusi, na kauli za karaha, ktk mikutano yake.
 
Ccm wana hahaha
Screenshot_2018-05-11-13-48-57-429_org.mozilla.firefox.jpeg
 
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo

Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita.
Asante teknolojia yaami tunashiriki mijutano mahali popote ilipo sio ile ya kusubiria kwenye tv usiku. Tundu Lissu a mysterious Leader ever
 
Back
Top Bottom