Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Acha story katika mambo serious. Hao wapiga kura wa CCM unaowaongelea ni hao wanazururishwa kwenye maroli? Unajiona wewe ndiyo bonge la mgunduzi kwamba hao siyo wapiga kura?
 
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo

Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
Lissu anapoteza muda tu hawezi kumshinda Rais Magufuli tena akipata kura laki tano tu akachinje ng'ombe.
 
Mgombea yuko na furaha sana
EiCaOgjXYAE2DDJ.jpeg
 
Wengi washangaaji tu, akienda magufuli waatashangaa vilevile
Ata akija ninapokaa nitaenda vilevile japo siikubali CDM,
Kujaza haimaanishi ni watamchagua, ata hivyo mbona sio nyomi nyingi kiivyo
Alivyoenda mwanza mbona kajaza uku ni sehem ambapo CCM ndo kule mwanzo mwisho

CDM haiwezi kuendeleza nchi maana ata wenyewe kujiendeleza hawawezi, hella ya Ruzuku kibao wanapata ila ata wabunge wake wenyewe hawajui inaenda wapi ata, sema wengi wanataka kuona mpinzan
 
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo

Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
Hongereni sana wana wa Tunduma kwa kukata minyororo ya utumwa
 
Nimepata maono Magufuli, Siro, Mkuu wa TBC, Mabeyo, Mkuu wa magereza, Mkuu wa TISS mwenyekiti wa NEC ndg Mahera na yule jamaa afisa nini sijui ambaye ni mweusi na sura mbaya kama breki ya jeneza wa tume mwakani kipindi Kama hiki watakuwa The Hague uholanzi kujibu tuhuma za genocide
Maono yako uchwara yameshashindwa kitambo sana kwa nguvu za MUNGU aliyeiweka nchi hii tangu mwanzo.

HAKUTOKUWA NA GENOCIDE.

Mwenyezi MUNGU ataruhusu jambo lililo jema tu ndiyo litokee kwa nchi hii iwe ni Magufuli, Lissu, Lipumba, Membe n.K au yeyote yule.
 
Back
Top Bottom