Sayyid Khalifa
Senior Member
- Jun 8, 2018
- 111
- 216
Actually CCM ikipata 30% from this election, ishukuru sana. Lissu amewashika pabaya sana.Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Actually CCM ikipata 30% from this election, ishukuru sana. Lissu amewashika pabaya sana.Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Amesahau hiliBwana yule nasikia anawasweka wanao mpinga kule kwa kina iwee
Na wakimbiziWatoto wa shule....
Ni aibu na simanzi kubwa sanaAmesahau hili
Lissu size yake ni ubunge tu urais hatuwezi kumpa watanzania tupo bega kwa bega na Magufuli.T 2020 TAL ..huyu ndo chaguo la watanzania ..huyo mwingine kasha chemsha tayari
Kule alikoagiza watu wawekwe ndani kwa kumzomea?Umeiona nyomi ya Kagera lakini?
Hao wanaokuja kuwaona akina Chege!!?Lissu size yake ni ubunge tu urais hatuwezi kumpa watanzania tupo bega kwa bega na Magufuli.
Cheki nyomi iyo tena hapo ni njiani wananchi wamejitokeza kumpokea Rais wao kipenzi. View attachment 1571555
Masifa ndo mnayo kumbe hamna kitu.Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
Mafuso makubwa kama hili??Na mafuso ya kutoka chato yapo kibao, kutoka karagwe yapo kibao
Yaani unaonyesha umekata tamaa kabisa na lissu anashinda.Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Ushabiki ulioje, hukuona 2015 lowasa kila alipokwenda. Jiandae kisaikolojia maana Oct ni Magufuli tena.Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
Uko sahihi,ila shida iliyopo nikwamba wakati wa kujiandikisha kulikuwa kama na kahamasa kakuigomea NEC watu kutojitokeza kujiandikisha na mitandaoni hata hapa Jeiefu, tulikuwa tunafurahia wale waandikishaji wakiwa wanasinzia tu vituoni,huoni kama hapo ndiyo sisiemu wanaposhinda kirahisi kwa kuwa kamtaji?Only NEC ndio wanaweza kuwaokoa ccm hapo 28 octoba. Njia nii nyeupe kwa Lissu na Chadema.
Ni Yeye2020
Mataga woote sasa hivi wapo taabaniYaani unaonyesha umekata tamaa kabisa na lissu anashinda.
Hao Silinde mwenyewe anajaza wakati ninyi ni mkutano wa mgombea uraisi.Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa Maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo
Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita ..
Mtu wa mchakamchaka anadondoka mwenyewe?Tundu Lissu wapeleke mchaka mchaka , wapeleke kikamanda mchaka mchaka
Wale akinadada wapumbavu YEHODAYA, Joanabaptist na dada Wakudadavuwa watasema picha za wakati wa Lowassa hizo!
Watu mnajidanganya Sana, mpaka sasa hakuna chama cha kuishinda CCM hii ya Magufuli. Mnajifariji bure, Lissu hata kura alizowahi pata lowasa hatapata. CCM babalao. JPM tangu aanze kampeni ni mwendo wa nyomi mwanzo mwisho.Ha ha ha ha ha si wale walioenda kumpa ukweli Bwashee kuwa hawampi kura au ipi tena hyo. Mkuu Tundu kasema ataenda kule kuongea nao ili baada ya oktoba 28 akawakombolee watu wao. Ni mwendo wa Mpela Mpela wala hakuna kutema mate wala kuchimba dawa