kwa train na malori🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿📌
KIBAIGWA imethibitisha mapokezi ya kishindo kwa mgombea Urais kupitia tiketi ya chama chama Mapinduzi hakika Dodoma jambo limeitaika.
#Haijapatakutokea
#KurayakwanzaKwaSamiaView attachment 3459577View attachment 3459578View attachment 3459579
Bebeni na nyie🤣😅🤣kwa train na malori
Nyumbu wa mama"Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
Sawa lkn October 28 tunajazana asubui kwenda kutiki CCM ni mpango wa Mungu kwajili ya Amani ya Tanzania. MAMA SAMIA m5 tena.Wagogo hawana tofauti na morogoro wamejaa vilaza watupu
Wawapate wapi kelele zao tu train yetu CCM wanapanda bure wenye train yao Wana CCM wanaona wivu tu😂😂 waje nawao CCM watapanda hata SGR 👏👏Bebeni na nyie🤣😅🤣
Hapo Swafiiiii kodoeni macho tu wana CCM tupo kwenye Sherehe zetu kwa miezi 2 ivi.Uzuri mnajambiana wenyewe kwa wenyewe sisi tuko pembeni tunavuta oxygen
kwa mwenendo huu nchi nzima utawaita vilazaWagogo hawana tofauti na morogoro wamejaa vilaza watupu
Wakusafilishwa wakajaze uwanja🤣🤣"Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
HapanaWagogo wanasema oktoba wanatiki 😆
Mtaenda nyie mnaenda kuhalalisha mafisadi kuendelea kuifilisi nchi huo mida mimi sinao kabisaSawa lkn October 28 tunajazana asubui kwenda kutiki CCM ni mpango wa Mungu kwajili ya Amani ya Tanzania. MAMA SAMIA m5 tena.