Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

Kibaigwa waacha historia mpya katika ziara hizi chache ambazo ameshazifanya Dkt.Samia, maelfu ya watu walijaa kuja kusikiliza sera za mama yetu mpendwa na hakika historia hii ilimpa furaha mama mpaka aliamua kupiga selfie na wana kibaigwa. Hakika Ccm sio level zao kabisa
IMG-20250831-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom