Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

Ni wakati sasa wa mbowe na yeye kuanza ziara za kila mkoa na wilaya kuimalisha chama.

Join the chain ni kujichoresha tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wana JamiiForums wanasikitisha na kuchekesha simultaneously, haya mambo ya katiba mpya siju ccm imefanya nini na mapovu yote yanaishia humuhumu JamiiForums yenye members laki sita 600,952 ndani ya nchi yenye wananchi million 60,000,000.

Means hizi fujo zote humu hazifiki popote na asilimia 99% ya wananchi huko nje hawajui kinachoendelea humu ndani na pengine nchini.
Ni kama simimizi anayempigia kelele tembo, kwa maana hiyo mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuona ajabu CCM inavyoendelea kushinda uchaguzi consistently. unless your dummy headed.

Kinachotokea humu ni kama kujifurahisha kwa simba na yanga.
 
Waliokanyagana wako wapi?
 
Mnadanganyana na maigizo ya ccm mbona hawataki katiba mpya?
katiba mpya kwa sasa sio muda mufaka, hali ya uchumi imebana halafu nchi iingigie tena kwenye bajeti ya mchakato wa katiba mpya!!
hilo kwa sasa haliwezekani labda kama wafadhili watatoa msaada mahsusi kwa jambo hilo.
 
CCM chama,
 
Kwani CCM hakuna watu wanaompenda Mungu?
Mungu Baba wa Mbinguni hachangamani na majizi,mafisadi,wauaji,wazinifu,waabudu sanamu,waongo,washirikina.
Kwa ujumla Mungu hachangamani na wana wa ibilisi shetani.
Zaburi 1:1 - 6

1 Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
2Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
3 Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
4Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
5Kwa hiyo wasio haki hawatasimama hukumuni,
Wala wakosaji katika kusanyiko la wenye haki.
6 Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
 
Kichwa cha habari hakina tofauti na zile page za youtube zakomedy likianza na neno mwanzoni au mwishoni "lazima utacheka"
 
UJINGA MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…