Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Sio hivyo tu bali ZeMarcopolo kaacha kazi yake halali ya ukunga/ungariba pale Mvomero Morogoro nakujada Dar kukesha viunga vya Lumumba akipiga porojoma huku jioni akigombania treni kwenda Mawenzi Tabata
 
Afadhali aliyeenda na mkewe kuliko aliyebeba mamako kama hawara na kwenda kubadilisha damu yenye VVU kwa kodi yako! Kwanza kabeba mamako pili kamuambukiza VVU tatu katumia kodi yako kubadili damu yake mwenyewe!!

Kwani yule anayekwenda USA kupiga picha na vimada wa Hollywood anapiga picha kwa kodi ya nani?
Na kama unafikiri siku ile mlipokutana hakuvaa kinga na kuamini ulimuambukiza VVU hivyo na yeye kuwaambukiza wengine, naomba usahau.Maana kwa mujibu wa statement yako unatutaarifu wazi kuwa aliwahi 'kukudokoa'!

Generally, umeonyesha ni bora kuwa na UKIMWI unaweza ukawaza maendeleo chanya kwa nchi kuliko kuwa na Upungufu wa Akili Kichwani-UAKI na kutoa maoni-uozo,na kujidhihirisha wazi kuwa umebeba kichwa kilichojaa kamasi badala ya ubongo!
 
big result now.....tutaibiwa mpaka "!!!!!!"!!.....
kuna siku nilisikia mbunge wa ccm akisema yeye kaiba kidogo lakini wengine wameiba pesa nyingi"!!
 
Fanyeni kazi jamani yaani apokelewe kwambwembwe huyu mzinifu? Big NO.....
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz

kwa habari ya wake za Watu Mwigulu Nchemba anao uzoefu wa kutosha, Igunga etc etc
 
Last edited by a moderator:
Hii thread kichwa cha habari ilitakiwa isomeke hivi:MAPOKEZI MAKUBWA KWA WAZINIFU MASHUHURI.
 

Wewe umri wako miaka mingapi?
 


HAMY-D = Shonza
 

Acha fix arifu hamy-d, ukichangia tu lazima hiyo Icon ionekane.

Jambo la msingi ambalo ungeweza kufanya ni kumsaidia jamaa yako zemarcopolo hiyo shilingi elfu thelathini ili angalau na yeye aunge mkono uwepo wa JF sio anakesha hapa 24/7 lakini hajatoa hata thumni.
 
Last edited by a moderator:
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz


Kilago alikuwa mke wa nani? Tena kale kazee kasivyo na aibu kakaridhi hadi watoto wa Kilango. Kasivyo na haya kazee ka miaka 98 kanakwenda kupora mke mwenye umri sawa na watoto wake wa kiume..Siye wenye macho akili mkichwa.
 
Mimi nashauri Slaa W (PhD) aachwe aje nyumbani na akiona infaa basi awe na press conference tuachane na mambo ya kizamani kujazana airport kumpokea .Haina maana yeyote wote tunamkubali na apate muda wa kuongea na wana habari yote yatakuwa sawa .Wananchi wafanye kazi na siasa uchwara za ki CCM tuwaachie wenyewe .
 

Kama wanavyojua kuwa Malecela alipora mke na watoto wa mme mwenzie.. Halafu hivi ni kweli kuwa mama yako yuko Mbeya?? ni swali tu..
 
umeongeA KAMA UNAAKILI!
 
msukule wewe hata manyaunyau akichinja paka 20 hauponi tena.babu amekumaliza kila kitu
imani za kishirikina zinakusumbua wewe aliyekuambia paka wanatibu nani?
 

Nimeipenda hiyo, suala sio CCM, CDM, NCCR, CUF wala nini....japo vina mchango mkubwa lakini maendeleo ya ujumla hayapo, lazima ufanye kazi na hicho ndio kinachotutofautisha kati ya mtu na mtu.

Vinginevyo itakujachukua nchi CDM na watu wasipate kile wanachofikiri watakipata chini ya CDM matokeo yake hali ikawa mbaya zaidi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…