Mapito ya career woman

Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Kumekua na kasumba ya jamii kuamini mwanamke mwenye miaka 18-24 bado ni mdogo kuolewa. Katika umri huo anatakiwa kutengeneza career yake kwanza. Leo embu tuangazie mapito ya career woman.

Anamaliza form 6 akiwa na miaka 18 au 19, hapa makadirio ya chini body count inasoma 3 au 4, wachache huwa wanapita hii hatua wakiwa bikira. Baada ya hapo anaenda chuo.

Huyu career woman ambae familia na jamii inasema bado mdogo kuingia kwenye ndoa, uko chuo anaishi kwenye ndoa bubu.

She is playing house wife with her boyfriend. She is giving him free sex, cooking for him and washing his clothes, all for a boy who will never marry her

Kumbuka kwenye ndoa bubu napo kuna michepuko pia. Wakati career woman anatoa huduma zote kama mke kwa boyfriend wake, kuna sugar daddies watatu, malecturer kama 5 hivi , yule mubaba mume wa mtu na yule kaka anafanya kazi TBL wote wapo kwenye sexroll ya career woman.

Kumbuka kuna Sheby bodaboda kwa ajiri ya safari zake, kuna Jembe muuza chipsi wa kumrekebishia masuala ya msosi, kuna Q-boy pamba kali kwa ajiri ya kumpendezesha, kuna yule baunsa wa ile club maarufu kwa ajiri ya free entry kila wikiend akiingia hicho kiwanja. Unajua career woman anawalipa nini in-return hawa watu? sikwambii.

Ooh.! nilitaka kusahau kuna events zinaitwa house party. Katika hizi shughuli kundi la wanafunzi jinsia ME na KE wanakodi nyumba siku mbili mfululizo wanajifungia ndani. Humo ndani ni mwendo wa pombe, bangi, shisha na ufuska. Siku mbili zikiisha career woman anatoka hana bikira hata moja, matundu yote kwishnei.

Huyo ndio career woman. Nawaonea huruma sana masimp

Career woman anamaliza chuo body count inasoma 100+ sasa hapa ndio anarudi nyumbani. Guess what?

Her family will package her as "ready for marriage", and the worst part they will expect you a man who spent years grinding, sacrificing and building yourself to settle for her.

You have been disciplined, focused, invested in yourself and worked tirelessly to build your value. Meanwhile she's been hopping from bed to bed, squandering her youth and disrespecting herself in the name of building her career. Now you are supposed to accept her with open arms. Don't be that dump fool simp.

Zawadii bora zaidi ambayo mwanamke anaweza kumpa mume wake ni bikira. Bikira ni kiwakilishi cha kujiheshimu, nidhamu, na mwanamke kujithamini. Mwanamke aliejitunza ni mwanamke ambae anajua thamani yake na thamani yako mumewe mtarajiwa.

If you want a peaceful marriage marry a fresh, young and submissive housewife. Stay away from woman who has been passed around, giving herself freely to badboys, sugar daddies, lectureres and randomly strangers in the name of building a career, such women has nothing left to offer except regret and baggage. You don't need that in your life.

Don't be a simp.
Ila hizi house party mavyuoni imekuwa trend ni mwendo wa kupigana miti nilisimuliwa mwanachuo mmoja nilishangaa,halafu anavyo simulia anaona kama kitu cha kawaida.
 
Kwani usifanikishe hili la ajira kwanza sio kila siku unaimba Natafuta Ajira ??
User name ya muda mrefu kidogo sema nasita kuibadilisha kwa sababu watu washaizoea. Kuna watu wananitumia mikasa yao inbox, kuna wengine wananitag sasa nikiibadilisha watapata shida kunitafuta, ila kwa sasa maisha yapo kwenye muelekeo wenye matumaini. Sipo tena kwenye iyo phase ya kutafuta ajira
 
Sasa iyo si unaweza hata kuweka tu cheti cha mtu. Taja majina yako weka na picha uliosoma nao wajitokeze
Naonaa unataka kuniprovoke ili tu niexpose kila kitu kuhusu mimi humu ila kwa hilo hutofanikiwa, kuna uzi wa Mshana Jr unaitwa selfika na jf ni wa kitambo toka 2019 tulishatuma sana picha zetu humo na tulishafahamiana na watu wengi nje ya jf kupitia huo uzi, nadhani kwa sasa wanatosha sihitaji mtu mwingine yeyote wa humu jf anifahamu labda niamue mimi mwenyewe, lakini kwa kukusaidia tu mtafute member anaitwa Amehlo nimesoma naye chuo kimoja darasa moja na tumemaliza mwaka mmoja 2019 atakuelezea walau kwa uchache kuhusu mimi, kama hutaki basi ila kaa ukijua hunifahamu na kama unanifahamu basi thibitisha unachokijua kuhusu mimi nasisitiza tena THIBITISHA..au jaribu kuweka na wewe credentials zako kama nilivyofanya mimi!!
 
User name ya muda mrefu kidogo sema nasita kuibadilisha kwa sababu watu washaizoea. Kuna watu wananitumia mikasa yao inbox, kuna wengine wananitag sasa nikiibadilisha watapata shida kunitafuta, ila kwa sasa maisha yapo kwenye muelekeo wenye matumaini. Sipo tena kwenye iyo phase ya kutafuta ajira
Post yangu umeichukulia kwa uzito sana.
Haikuwa hata ya kumaanisha mkuu...wewe jiite utakavyo, hata ukijiita jiwe ni sawa tu
 
Acha ubishi na kujifanya unanijua sana mimi nimesoma Mzumbe nina Degree ya HR nina miaka 27 na bado bikira, chuo nilichosoma hakiko Dar lakini nimezaliwa Dar nimekulia Dar wazazi na ndugu wengi wako Dar na kwa sasa Nafanya kazi na biashara hapa hapa Dar, sema kingine maana hamchelewi kusema "oo wewe utakuwa huna tako na una sura ya baba" ilimradi tu mpate sababu
Waambie hao.
 
Career woman ni mwanamke mpumbavu sana na malaya wa kutupwa

Mwanamke yoyote ambaye ana ambitions kubwa kwenye career;

Sikuzote she puts her interest before her marriage

Anafocus zaidi kwenye dreams za mafaniko yanayotokana na career yake kuliko interest of the family

Akipata kazi kipaumbele chake ni boss na sio mume wake yuko radhi awe submitted kwa boss wake kuliko mume wake

Kipaumbele chake ni career na sio watoto wenu. Atataka awe na msaidizi wa nyumbani kulea watoto wake

Siku zote huyu mwanamke yuko busy na hivi kwamba anashindwa kushughukikia masuala ya kifamilia yanayomhusu mke au mama

Huko kazini sasa yuko tayari kuchanua hata mapaja yake ili apate promotion ya kupandishwa cheo. Always career woman spreads her legs for her superiors. Kama alimchanulia mapaja lecturer atashindwaje kwa boss wake

Kwa sababu ameshamegwa sana na kuishi maisha ya ndoa bubu na sogeza tuishi usitegemee malaya huyo atakuwa mke wa maana

She never ever make a happy home

Learn or perish
 
Naonaa unataka kuniprovoke ili tu niexpose kila kitu kuhusu mimi humu ila kwa hilo hutofanikiwa, kuna uzi wa Mshana Jr unaitwa selfika na jf ni wa kitambo toka 2019 tulishatuma sana picha zetu humo na tulishafahamiana na watu wengi nje ya jf kupitia huo uzi, nadhani kwa sasa wanatosha sihitaji mtu mwingine yeyote wa humu jf anifahamu labda niamue mimi mwenyewe, lakini kwa kukusaidia tu mtafute member anaitwa Amehlo nimesoma naye chuo kimoja darasa moja na tumemaliza mwaka mmoja 2019 atakuelezea walau kwa uchache kuhusu mimi, kama hutaki basi ila kaa ukijua hunifahamu na kama unanifahamu basi thibitisha unachokijua kuhusu mimi nasisitiza tena THIBITISHA..au jaribu kuweka na wewe credentials zako!!
Basi hapo ataenda kumtafuta huyo member na kumdodosa kukuhusu wee, ataomba na picha kabisa.

Ila dada kufahamiana JF na mtu huko nje mnajuana, sio risk? Mie kuna member nlitaka kufahamiana nae, ktk kumchimba kumbe nimesoma nae advance afu class 1, nili mblock na kumu ignore kabisa, Lol
 
Hahaha yani hata mimi sijui ilikuwaje nikafahamiana na huyo member my dear ni kiherehere changu tu kuna avatar aliweka nikamfananisha kumuuliza kumbe ndio yeye, nami nikajitambulisha tukafahamiana lakini hata huko chuoni hatukuwahi kuwa marafiki kabisa na alishawahi kunisagia kunguni humu kuwa mimi ni mbishi hata kwenye real life maana si ananifahamu, ukiacha huyo the rest niliofahamiana nao nje ya jf tulikuwa hatujuani kabisa hapo kabla tena wengi ni watu wazima na tunaheshimiana sana maana huwa niko very selective na watu wa kufahamiana nao humu huwa sikurupuki
 
Career woman ni mwanamke mpumbavu sana na malaya wa kutupwa

Mwanamke yoyote ambaye ana ambitions kubwa kwenye career;

Sikuzote she puts her interest before her marriage

Anafocus zaidi kwenye dreams za mafaniko yanayotokana na career yake kuliko interest of the family

Akipata kazi kipaumbele chake ni boss na sio mume wake yuko radhi awe submitted kwa boss wake kuliko mume wake

Kipaumbele chake ni career na sio watoto wenu. Atataka awe na msaidizi wa nyumbani kulea watoto wake

Siku zote huyu mwanamke yuko busy na hivi kwamba anashindwa kushughukikia masuala ya kifamilia yanayomhusu mke au mama

Huko kazini sasa yuko tayari kuchanua hata mapaja yake ili apate promotion ya kupandishwa cheo kazini always career woman spreads her legs for her superiors. Kama alimchanulia mapaja lecturer atashindwaje kwa boss wake

Kwa sababu ameshamegwa sana na kuishi maisha ya ndoa bubu na sogeza tuishi usitegemee malaya huyo atakuwa mke wa maana

She never ever make a happy home

Learn or perish
Kabisa kabisa. Career women ni wajinga na wapumbavu tu
 
Mwanamke wa hivyo anaweka ambitionas kubwa kwenye career yake kuliko mume wake sababu walau ana uhakika kuwa career yake ina uwezo wa kumuingizia kipato na kumtimizia mahitaji yake kuliko mume wake, ukizingatia wanaume wenyewe ndio hawa wasio na shukrani ukiwa mama wa nyumbani watakuita golikipa na kukunyanyasa ila ukitoka kutafuta pesa ili uwasaidie majukumu yao watakuita mjeuri na kiburi, chanzo cha haya yote ni wanaume kushindwa kutimiza na kukimbia majukumu yenu na hata mkiyatimiza mnayatumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hivyo wanaona bora nao wajitafutie vyao ili wasinyanyasike
 
Hakuna uhusiano wowote wa mwanamke kutoka kutafuta kipato na kuwa jeuri kwa mumewe. Inawezekana kabisa kuchangia bill za nyumbani na kumweshimu mumeo kama kichwa cha familia.
 
Acheni kudanganyana ujeuri wa binadamu yeyote yule unategemea na uchumi alionao ujeuri wa mwanamke kwa mwanaume unategemea na uwiano wa majukumu ya kiuchumi kati ya huyo mwanamke na mume wake, ikiwa mume ndio anawajibika zaidi kiuchumi kuliko mke basi mwanamke hana budi kumheshimu mumewe, ila ikiwa mke anawajibika sawa na au zaidi ya mume wake kiuchumi basi hapo usitegemee heshima yoyote ile, sababu msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko katika huduma za kiuchumi tu na si vinginevyo huwezi kukitawala kiumbe usichokiwajibikia na vile vile huwezi kukitii kiumbe kisichokuwajibikia, hakuna binadamu aliyekuja duniani kumtii binadamu mwenzie bure tu kuna msemo unasema with great authority comes great responsibility hakuna mamlaka bila wajibu
 
Mimi nipo hapa kijichi kuna kiwanja kinaitwa getway kila wikiend mademu wa TIA wa campus ya kurasini wanakuwepo kibao. Taarifa za hawa mademu tunazijua vzr tu.

Nimesoma na kuishi Mbeya, Arusha, Iringa, Morogoro yanayofanywa na wanafunzi wa chuo ndio hayo hayo uliyoyasema
Nna swali mkuu, wadada wa vyuo vya arusha wanajiuza kwenye club zipi🤔 tupeane connection Natafuta Ajira
 
Hahaha yani hata mimi sijui ilikuwaje nikafahamiana na huyo member my dear ni kiherehere changu tu kuna avatar aliweka nikamfananisha kumuuliza kumbe ndio yeye, nami nikajitambulisha tukafahamiana lakini hata huko chuoni hatukuwahi kuwa marafiki kabisa na alishawahi kunisagia kunguni humu kuwa mimi ni mbishi hata kwenye real life maana si ananifahamu, ukiacha huyo the rest niliofahamiana nao nje ya jf tulikuwa hatujuani kabisa hapo kabla tena wengi ni watu wazima na tunaheshimiana sana maana huwa niko very selective na watu wa kufahamiana nao humu huwa sikurupuki
Hongera kwa hilo pia.
 
Acheni kudanganyana ujeuri wa binadamu yeyote yule unategemea na uchumi alionao ujeuri wa mwanamke kwa mwanaume unategemea na uwiano wa majukumu ya kiuchumi kati ya huyo mwanamke na mume wake, ikiwa mume ndio anawajibika zaidi kiuchumi kuliko mke basi mwanamke hana budi kumheshimu mumewe, ila ikiwa mke anawajibika sawa na au zaidi ya mume wake kiuchumi basi hapo usitegemee heshima yoyote ile, sababu msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko katika huduma za kiuchumi tu na si vinginevyo huwezi kukitawala kiumbe usichokiwajibikia na vile vile huwezi kukitii kiumbe kisichokuwajibikia, hakuna binadamu aliyekuja duniani kumtii binadamu mwenzie bure tu kuna msemo unasema with great authority comes great responsibility hakuna mamlaka bila wajibu
Kuna mtu nataka asome hapa kwa umakini, ili aelewe kwa uzuri zaidi, kila nikimuelekeza huwa hakubali hili.
👏👏👏👏
 
Acheni kudanganyana ujeuri wa binadamu yeyote yule unategemea na uchumi alionao ujeuri wa mwanamke kwa mwanaume unategemea na uwiano wa majukumu ya kiuchumi kati ya huyo mwanamke na mume wake, ikiwa mume ndio anawajibika zaidi kiuchumi kuliko mke basi mwanamke hana budi kumheshimu mumewe, ila ikiwa mke anawajibika sawa na au zaidi ya mume wake kiuchumi basi hapo usitegemee heshima yoyote ile, sababu msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko katika huduma za kiuchumi tu na si vinginevyo huwezi kukitawala kiumbe usichokiwajibikia na vile vile huwezi kukitii kiumbe kisichokuwajibikia, hakuna binadamu aliyekuja duniani kumtii binadamu mwenzie bure tu kuna msemo unasema with great authority comes great responsibility hakuna mamlaka bila wajibu
Sio kweli kabisa. Mwanaume kisaikolojia anajiona provider huyu hata akiwa ndie bread winner kwenye familia ndoa itaenda vizuri. Mwanamke yeye anajiona ni receiver huyu hela yake ikiingia kwenye bill za familia kama hana hekima kama wewe lazima ilete shida.

Nina dada angu kaolewa na kipato chake na mumewe kipo kwenye scale inayolingana lakini naona jinsi anavyomuheshimu mumewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom